Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mafinga kwa kata za mjin naona zimefikisha watu 95000 imezidi kidogo kata za Njombe mjini ambayo ina 90300 na kata zilizopo town Mafinga ni boma,upendo, kinyanambo,iwambi na changalawe zipo tano nne zipo kijijini mishemishe za mjini zinafanana na Njombe mjini yenye kata tatu town
 
Mikdde 😁😁😁😁
 
Inajitahid
 
Songea Municipal haiwezi fanana na Kijiji chochote Cha Kanda ya Ziwa
kusini_news_1681376160503494.jpg
 
Mkoa wa Kimkakati lazima ufunguliwe

Ni moja ya jitihada nzuri ila wangeongeza hata km 20 ili zifikike kidegembye ambako ndiko wamejenga ofisi za njombe dc maana hizo km 25 za kutoka kibena hadi nyombo hapo pote ni msitu wa tanwat ndo umetawala Yani ni sawa na kipande Cha wangama hadi kibena hata hivyo Agri connect ikiwasaidia Ile Barabara ya mtwango hadi nyombo km 25 itawaokoa Sana watu wa lupembe maana hii ndo Ina watu na makazi ya kutosha na viwanda vya kutosha
 
Wakitoboa ya mtwango hadi nyombo itakucha kama Ile ya kwenda makete saiz Ina gari nyingi Sana mfano kama saizi wanavo weka lami itulahumba hadi igwachanya hii itaongeza idadi ya daladala kutoka makambako hadi igwachanya maana ni kipande ambacho ni full makazi na walimalizia kipande Cha igwachanya hadi igosi nacho kina makazi ya kutosha hii itasaidia gari za makambako makete hazita zungukia njombe mjini Tena maana hii ni short cut Ina km chache Sana na imeukwepa msitu wa tanwat imepita kwenye makazi tu na tambalale ya kutosha na kazi imeanza km 19.3 ukiongeza na 4 ambazo tayari km 23.3 tayar lam bado km 30 total km 53 .3 Agri connect HiYo ni kuunga nishaha sehemu ya uzalishaji na soko la makambako na ukizungukia njombe ni km nyingi na soko la mazao la mkoa limejengwa kiumba makambako
FB_IMG_16735840067750780.jpg
HiYo ni makambako to ikonda
FB_IMG_16818118282030428.jpg
 
Ni moja ya jitihada nzuri ila wangeongeza hata km 20 ili zifikike kidegembye ambako ndiko wamejenga ofisi za njombe dc maana hizo km 25 za kutoka kibena hadi nyombo hapo pote ni msitu wa tanwat ndo umetawala Yani ni sawa na kipande Cha wangama hadi kibena hata hivyo Agri connect ikiwasaidia Ile Barabara ya mtwango hadi nyombo km 25 itawaokoa Sana watu wa lupembe maana hii ndo Ina watu na makazi ya kutosha na viwanda vya kutosha
Kuongeza ni Hadi mwaka 2024/25 ikutokana na Bajeti
 
Back
Top Bottom