Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We Jamaa ni kabishi sana,umesoma Bango la hiyo shabiby?

Kwa taarifa Yako Sasa Shabiby atakuwa anatoa gari mbili kwenda Mbeya na kurudi Dom saa 12 na Saa 1 zote VIP.

Pili anaanza route ya Mbeya-Dar VIP Class kama kawaida.
Shabiby ni VIP Class Toka kitambo sana Kwa route ya Mbeya,yeye na Kimbinyiko.
Speaking of Kimbinyiko hata yy VIP zake Zipo DAR DOM ambazo ni DQC series mbili na DCW

Kwa Mbeya hizo DQG na DQH 57 seater buses zina U-VIP gani.

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Shabiby akileta hizo 2by1 kama uliyotuma picha ziende Mbeya Dom au Dar Dom nimekaa pale

Hizo VIP so far zipo mbili tu na huwa zipo mbili kwake mara kibao tu toka zikiwa DEN, zikaja DPP kisha DYS.

Hizo za Dar Mbeya ni 45 seater buses with 2*2 seating arrangement brother plus hata za Mbeya Dom labda abadilishe lkn kwa sasa zipo 57 seater buses sasa sijui unabisha nn.

Anyways kakate tiketi kwenye hizo route mbili ulizotaja ukipata 2by1 bus nidai pesa yako

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Kashusha ishirin mbeya anapeleka vip tembelea kwenye kurasa zake
 
Wewe uliye serious unaishi wapi?
Magu beach
JamiiForums-734517260.jpg
IMG-20230405-WA0020.jpg
 
Huko mnakokumbwa na Mafuriko Kila siku,kunuka na mafoleno ya hovyo siwezi ishi hata siku Moja..

Nimekaa sana Goba ila sijawahi ipenda Dar japo beaches zake ndio Huwa nazipenda.
Hizo changamoto za kawaida.utapoumwa n'a nyoka huko kahama utakumbuka
 
Back
Top Bottom