Sasa ushamba wangu ni upi? Hiyo ni lodge tuu kama hii ya hapa Sumbawanga 👇Wew mshamba huwezi kuelewa luxurious lodge kama tilapia........
Hizi guests House tuu,hoteli za maana hapo Mwanza ni Gold crest na Malaika tuu.Ngoja Leo niwaheshimishe mbeya Kwa kushindana na ilemela.
Lenana View attachment 2582280
Ilemela skyline..[emoji91][emoji91][emoji91]. skyline ya mbeya ipo wapHizi guests House tuu,hoteli za maana hapo Mwanza ni Gold crest na Malaika tuu.
Air bnb ilemela.. mbeya hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi guests House tuu,hoteli za maana hapo Mwanza ni Gold crest na Malaika tuu.
Barabara za mitaa .. ilemela [emoji91][emoji91][emoji91]Hizi guests House tuu,hoteli za maana hapo Mwanza ni Gold crest na Malaika tuu.
Zoezi la kutandaza Taa za barabarani linaendelea Mjini Swax Hadi km 15 zimalizike.Barabara za mitaa .. ilemela [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2582294View attachment 2582296View attachment 2582298
Hivi Mwanza nzima Ina kiwanda hata Cha Magodoro hata kimoja?Air bnb ilemela.. mbeya hamna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2582288
Mbeya foamHivi Mwanza nzima Ina kiwanda hata Cha Magodoro hata kimoja?
Mbeya foam limited [emoji116]View attachment 2582324View attachment 2582325
Wivu Hadi Unajitoa ufahanu,umeona anuani ngapi hapo? 😁😁Mbeya foam
P.O BOX
DAR ES SALAAM [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya mbeya ipo wap [emoji28][emoji116] hapaWivu Hadi Unajitoa ufahanu,umeona anuani ngapi hapo? [emoji16][emoji16]
Watu wa Mbeya wanapenda sana kwao ndio maana wanauza brand kubwa Mbeya foam..
Soma tena ,Dar ni branch tuu kama Dodoma,hapo Kuna anuani mbili..
Unadhani Kwa nini kampuni haikuita Dar foam ikaita Mbeya foam?
Wewe akili huna,huo mkwaju au stroke hujaona?Ya mbeya ipo wap [emoji28][emoji116] hapaView attachment 2582336
Wivu konyooo😝😝😝😝Yaani haka ka hoteli ka kienyeji ndio kamekuchanganya? Kuna nini jipya hapo?
Unajichekesha lakini moyoni unaumia, lakini vumilia ndio ukubwa wa jiji lenyewe lenye vina saba vya Las Vegas.Another kituko 😁😁.Mwanza mnahangaika sana kujaribu kuendana na hadhi ya Jiji 🤣🤣
Kumbe ukijengewa 5km tyr inakuwa ni logistic centreIli kufanya mji wa makambako kuwa logistic centre tayar tanroad wanajenga km zaidi 5 mjini na mkandarasi yupo kazini na TARURA wapo wanajenga km 4 mambo ni moto na mradi wa TACTICS haujaanza
View attachment 2582723View attachment 2582724