Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama hyo ...von lufuta[emoji91][emoji91][emoji91]
20230401_165356.jpg
20230226_093547.jpg
 
Kahama hyo ...von lufuta[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2573782View attachment 2573783
Yaani wewe ni Bure kabisa,tangu lini Kisbo ikawa ni route Mpya Kwa Kahama?

Kusoma hujui na picha huoni?,hapo wamebadili mda wa Kuondoka.

Hiyo Kahama ni Kijiji ,Njombe Dar Kuna kampuni nyingi kuliko Kahama Dar kama unabisha tuanze Ligi nikuumbue.
 
Oooh kumbe anaokoteza ila hyu jamaa ni kubwa jinga sana anaokotezaga vitu vingi mno
 
Mwanza mna stand mbovu sana,mtaharibu brand yetu ya Mkoa ,Mbeya express
Hilo gwangala linafaa kupaki hapo ... stendi Mpya sio Kwa ajili ya mabati machakavu namba B kama hyo ....

Stendi Mpya zinapaki international standard bus kama hiz
20221018_131922.jpg
20220803_223838.jpg
20230402_091705.jpg
20230402_091649.jpg
20230330_233502.jpg
 
Tatizo moja la mji wa Bukoba limeanza kufanyiwa kazi...ujenzi wa stendi umeanza upya baada ya kukwama za zaidi 15years...bado soko sasa...sijui mtaisema Bukoba kwa lipi sasa

Nimependa kutumia mkandarasi wa hapo hapo Bukoba...

 
Back
Top Bottom