...cheki slums kule nyuma...hii ndo inalinganishwa na Bukoba.....
Eti tuna manufacturing za pipi
Mtu ukimuuliza Bukoba kuna shida gan atakwambia stendi na soko......people watu wanajaji mji wa bukoba kwa kuongalia stendi na soko?
Tuendelee kutoa facts...
.
View attachment 2569152