ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,241
- 85,120
- Thread starter
- #14,901
Acha uchokozi kwa wakina nshomile😂😂😂😂Ila ndio lango la magonjwa kuingia Tanzania 🤣🤣
Kagera sugar ipo kabwe.Uwanja bila Timu ni makumbusho 🤪🤪🤪
Kabwe hatuna vitimu vya mashambani huko kwenye miwaKagera sugar ipo kabwe.
We mpumbavu unatesekaga na utakufa mapema kifua limejaa wivu,chuki,roho mbaya na ujinga mwingi sjui na ufupi unachangia,,Kabwe hatuna vitimu vya mashambani huko kwenye miwa
Hapa ni rusumo au?
Ni urban conglomeration yaani kuanzia Nsalaga Hadi Songwe Viwandani.Mega city ni jiji lenye watu milioni 10 na kuendelea
Population ya Mbeya City haifikii hata milioni 1
YesHapa ni rusumo au?
Huu mradi umefik asilimia ngapi ili tupunguze tatizo la kukatika kwa umeme?
Sunk hivi jiji la mbeya linaanzia wapi adi wapi nataka kujua jiji kama jiji🙏🙏Ni urban conglomeration yaani kuanzia Nsalaga Hadi Songwe Viwandani.
Kuanzia Tunduma Hadi Mlowo