Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama
1679982736227.jpg
 
Sunk hivi jiji la mbeya linaanzia wapi adi wapi nataka kujua jiji kama jiji🙏🙏
Miji imeungana na juzi nilikuwekea plan ya kuhamishia maeneo ndani ya Jiji unaendelea kuuliza maswali ya kindezi 😁😁

Mbeya Jiji linaloshwa kuanzia nyuma ya Nsalaga pale ukimaliza mlima Hadi Songwe Viwandani iliko Mbeya cement kote hapo Kati ni makazi na viwanda.
 
Mbehewa ya treni ya UGANDA yakipakia mzigo wa nondo hapa JIJI LA SAMAKI Kisha yatapakizwa kweny meli kubwa inayopiga route MWANZA to KENYA &UGANDA
Screenshot_20230329-112830~2.jpg
 
Miji imeungana na juzi nilikuwekea plan ya kuhamishia maeneo ndani ya Jiji unaendelea kuuliza maswali ya kindezi 😁😁

Mbeya Jiji linaloshwa kuanzia nyuma ya Nsalaga pale ukimaliza mlima Hadi Songwe Viwandani iliko Mbeya cement kote hapo Kati ni makazi na viwanda.
Ila huu mji ni wa ajabu sana na mgumu kuuelewa na haujlikani wapi ni wapi?
 
Back
Top Bottom