Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Naomb picha ya bukoba town
Twende mdogo mdogoo...usilie

Tubaki hapo kwanza kwenye vijiji...

Hiz ni nyumba za watu binafsi huko vijijini Bukoba....
Screenshot_20230328-224352.jpg
Screenshot_20230328-224704.jpg
Screenshot_20230328-224702.jpg
Screenshot_20230328-224232.jpg
FEFf-1CVUAsslxl.jpg
 
Mfa maji hachoki kutapatapa ww maskin usingeweza kupanda ABC
Nilikuwa naenda tunduma....

Na hakuna bus luxury kwenda Tunduma...ni new forcd bovu bovu na ilo golden sijui deer....

Bus ikifika iringa hadi watu wanasimama kama daladala za mbagala ptu....

Option ya ndege sio kila siku...yaan ukanda wa kusini mnazidiwa na Bukoba kuna ndege kila siku na zaidi ya mara mbili...Asubuhi, mchana na jioni Bukoba hukosi ndege...nyinyi huko ni mara tatu kwa wiki na mnasema kuna jiji Huko na purchasing power kubwa ...hamwezi jenga hata nyumba bora...
 
Hao walugaluga hawana pesa za kuspend.
 
Ukitoa airport hakuna kingne cha kusema
 
Mbona nakuomba picha ya cbd hutumii na unajiksusha
Mji sio kurundika concrete houses mjini kati bro...mji ni kuwa na facilities zinazofanya watu wayaishi maisha....
Mfano kama hiv....nenda kusini nzima uniletee uwanja kama huu....

Yaan huko kusini ikifika saa 1 hakuna mchezo wowote unaoendelea...

Bukoba main stadium...Kaitaba...mind you huu uwanja haumilikiwi na CCM ni uwanja wa manispaa.....upo ndan ya top five ya viwanja vilivyoko nchini....
Screenshot_20230328-230932.jpg
Screenshot_20230328-224340.jpg
images%20(28).jpg
images%20(27).jpg
 
Mji sio kurundika concrete houses mjini kati bro...mji ni kuwa na facilities zinazofanya watu wayaishi maisha....
Mfano kama hiv....nenda kusini nzima uniletee uwanja kama huu....

Yaan huko kusini ikifika saa 1 hakuna mchezo wowote unaoendelea...

Bukoba main stadium...Kaitaba...mind you huu uwanja haumilikiwi na CCM ni uwanja wa manispaa.....upo ndan ya top five ya viwanja vilivyoko nchini....View attachment 2569284View attachment 2569285View attachment 2569286View attachment 2569290
Huna hoja ya kueleweka na hutaweza kuelewa kamwe endelea kujifariji na picha tu na sio uhalisia mtu yoyote mjinga kwa picha tu ataamn kijiji cha bukoba kimeendelea ila akichunguza atagundua sumbawanga na songea zipo juu ya bukoba
 
Narudi pale pale leta facts kutoka vyanzo vinavyoaminika......wew sio great thinker....you don't talk like a man...mimi nimetoa facts, picha kibao tu kuonyesha Bukoba iko mbali kimaendeleo wew umeshika maneno yale yale week nzima na maneno yenyew ni titles tu wala sio content...

Onyesha hapa kitu gan hio miji yako inacho na Bukoba haina? Mimi nimeonyesha vitu vingi hapa vilivyoko Bukoba na vinavyofanya Bukoba iendelee..na bado...

Sumbawanga hii ambayo juzi wanapanda mahindi kwenye Airport?
 
Mji sio kurundika concrete houses mjini kati bro...mji ni kuwa na facilities zinazofanya watu wayaishi maisha....
Mfano kama hiv....nenda kusini nzima uniletee uwanja kama huu....

Yaan huko kusini ikifika saa 1 hakuna mchezo wowote unaoendelea...

Bukoba main stadium...Kaitaba...mind you huu uwanja haumilikiwi na CCM ni uwanja wa manispaa.....upo ndan ya top five ya viwanja vilivyoko nchini....View attachment 2569284View attachment 2569285View attachment 2569286View attachment 2569290
Uwanja kama huu kusini nzima hakuna labda serikali ya samia iwajengee, huu uwanja ni unanyasi safi kama upo kwenye godoro la Tanform
 
Bukoba ina kanisa kubwa EA, Bukoba ina bandari kubwa mbili, Bukoba ina kiwanda kikubwa cha Sukari hapa Tz, Bukoba inaongoza kwa kilimo cha ndizi, bukoba ina ziwa victoria, Bukoba ina mto kagera ambao ni mto maarufu sana Duniani
Ila ndio lango la magonjwa kuingia Tanzania 🤣🤣
 
Back
Top Bottom