Najua unapenda mabus...utakuwa utingo labda...
Nilipanda hilo bus sijui golden deer mbele limeandikwa new force...aisee bus kama daladala no charging yaan ni vurugu tupu mnazidiwa na mabus yakawaida yanayoenda huko Bukoba kama travel partner...
Huyu happy nation kaleta bus luxury la Dar to Bukoba...bus lina kila kitu hadi choo ndani...free wifi nk nk
Haya ni mambo ya kawaida kwa miji ya kanda ya ziwa...wala hutasikia wahaya wanajisifia...pamoja ya kuwa na epicentre ya masifa nchi hii
View attachment 2569189