ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,215
- 85,092
- Thread starter
- #14,801
City of mkwawa leteni picha ya kijiji cha bukoba tuone
Toa ushamba wako hapa, hili jalala haliwezi kufikia Bukoba kwa kina nshomile.City of mkwawa leteni picha ya kijiji cha bukoba tuone
Huto tughorofa tuwili ndio tunakufanya kuchanganyikiwa.
Kila kijiji kilichozubaa yan katika kitu havifanani ni iringa na huo uchafu wenu wenye matope mbk sebuleni hata sehem ya Picha hmn yani ziwa ndo linawabeba 😂😂😂😂😂😂Toa ushamba wako hapa, hili jalala haliwezi kufikia Bukoba kwa kina nshomile.
Leta magorofa ya bukoba yakifka kumi bukoba imeshindaHuto tughorofa tuwili ndio tunakufanya kuchanganyikiwa.
Bukoba hapo 😂😂😂😂😂 mnazaliana kama nyumbu alaf akili zero
Unatafuta chaka la kujisaidia😄😄
Tumia akili hata kidogo unataka lami ijengwe mpaka ndani ya mashamba sasa unataka watu walime wapi?Kuna nyumbu ilisema bukoba rami mbk vijijini hapo kwel nimekubal kweli nyie ni nyumbu hamjawah kuwa na akili
Hiyo picha nilipiga mimi nilipokuwa Ilula, hapo ni ilula Iringa😝😝😝
Kuna nyumbu ilisema bukoba rami mbk vijijini hapo kwel nimekubal kweli nyie ni nyumbu hamjawah kuwa na akili
Ulitaka lami iwekwe ndani ya mashamba ili wakina nshomile walime lami, me nakuambia bukoba hamtaiweza kusini nzima.
MwekezajiUlitaka lami iwekwe ndani ya mashamba ili wakina nshomile walime lami, me nakuambia bukoba hamtaiweza kusini nzima.