KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Bad life
Unachuki za kijinga sana kia's kwamba unatamani at lake zone wafariki wote ufrahi hakika akili huna kabisa
Bad life
Kuwa karibu na ikulu Wala sio kigezo bas morogoro ingekuwag at Jiji,,halafu ukweli sehemu wanakolima TU maendeleo ni hamna maana ukisema NJOMBE bila hayat ambaye Kila siku mnampondea but Ndo aliwajengea HOSPITALI ya Kanda,soko dogo hapo NJOMBE,stand na kuwaboreshea Barabara Sasa hicho Ndo unasema inakua au 🤣🤣
Nikumumbushe Moja ya mikoa iliyokuwa na shule kubwa za serikali huwezi iacha Iringa Mkwawa secondary kabla kubadilishwa kuwa chuo ilikuwa level nyingine.Watu kibao toka pembe zote za nchi hii wamepita Mkwawa.Ilikuwa na wanafunzi zaidi 1000,Kuna Ifunda Tech,Malangali zote ni kongwe na zimezalisha wasomi wengi sana.Sema ukanda wetu watu walifocus kwenye kilimo na biashara shule zaidi sera ya ilikuwa ni vijiji na familia zaidi.BUKOBA na Moshi ni Toka enzi ziko na shule nying mno za advance na mpaka Leo
Kaka acha kufananisha iringa na uchafu huo bukoba unaifananisha na na iringa kipiHuna akili....Imebidi nikutukane tu...Eti Njombe...njombe hii yenye kata tatu za mjini na nyumba nyingi zilizojaa kutu? Fremu kibao na nyumba zilizojengwa ovyo?...
Yaam watu mnanishangaza sana...yaan kujengewa stendi ya mabasi, soko na ghorofa mbili ndo muanze kujilinganisha na miji iliyokuweko toka zamani....
Na watu wengi wanaoiponda Bukoba ni either hawajawahi fika Bukoba na kama wamefika Bukoba wamepita tu....wengi mnaisikia Bukoba mitandaoni na mara nyingi Bukoba hupostiwa in a negative way may be kwa sababu ya wahaya....( ni kawaida kwa makabila makubwa strong kupewa sifa mbaya na makabila madogo)
Lakin Deep down ukiangalia hali ya hewa, kufikika, huduma za maji na umeme, ujenzi wa makazi, barabara za kuunganisha mitaa na mitaa, michezo na burudani yaan recreation na hata idadi kubwa ya watu kustaarabika Bukoba iko mbali sana kuliko miji mingi ya kusini Iringa ikiwemo...
Pale Bukoba kukijengwa stendi kuu na soko...matatizo yake yote kwisha maana sekta nyingine zote washamaliza....
Chiki zenu TU znawasumbua na kimsingi hazisaidii kabisa japo kuelewa inahitaji akili ya ziada na sio kukaririMkuu stendi ilianza kujengwa 2013 kabla mhindi alitepewa tender kufariki,na Soko pia ilikuwa sehemu yake okifadhiliwa na World Bank.Hospital sawa lakini hatuwezi kumshukuru JPM Kwa kuwa tulikuwa tunastahili kama ambavyo sasa tunajengewa barabara ya Zege.Lakini pia tungekuwa watu choka tusingepewa hiyo miradi😀😀
Toa hoja maana kaongea fact bas toa nawe fact za iringa ambazo ni potential na znajulikanaKaka acha kufananisha iringa na uchafu huo bukoba unaifananisha na na iringa kipi
Kaka wew umeongea uhalisia na sio ushabiki bukoba ya kitambo ila kwenye maendeleo ipo slow sanaa tofaut na njombe yenye miaka 10 tu ipo vile sasa njombe ikifka miaka 20 itakuwa mbali sanaaEti gorofa mbili 😃😃sijasema Njombe mjini Iko sawa au kuizidi bukoba Kwa sababu ya factor mbalimbali ikiwemo kuwa mji wa kisiasa just from 2012 wakati Bukoba Iko Toka 1964 lakini Kasi ya ukuaji Njombe inatisha😀 mkuu ndio maana nilikwambia Bukoba inafukuzwa na Njombe.Tazama business circulation ya Njombe na Bukoba utakuta difference ni ndogo pamoja na kuwa Bukoba inaadvantage zaidi ya Njombe Kwa kuwa Njombe logistically inaathariwa kuwa karibu na Mbeya,Iringa,Dodoma,Songea kiasi cha kumezwa mezwa.Ila huwezi fananisha Iringa na Bukoba bhana Iringa Iko mbali sana.Kumbuka Iringa inahost vyuo vikuu vitatu,inaviwanda,na ndio baba wa Mafinga wilaya yenye pato kubwa la serikali kutokana na Saohill,mufindi papers etc.Iringa pia Kwa sasa ni mikoa iliyo karibu na Ikulu.
Mkoa wa kagera na Kilimanjaro bado znaongoza zna shule nyingi mno za advance na ordinary level bas ni ubishi usio maanaNikumumbushe Moja ya mikoa iliyokuwa na shule kubwa za serikali huwezi iacha Iringa Mkwawa secondary kabla kubadilishwa kuwa chuo ilikuwa level nyingine.Watu kibao toka pembe zote za nchi hii wamepita Mkwawa.Ilikuwa na wanafunzi zaidi 1000,Kuna Ifunda Tech,Malangali zote ni kongwe na zimezalisha wasomi wengi sana.Sema ukanda wetu watu walifocus kwenye kilimo na biashara shule zaidi sera ya ilikuwa ni vijiji na familia zaidi.
Jombe maendeleo yapi Sasa au kupew huduma ambazo haikuwa Nazo unaona ni maendeleo?KKa
Kaka wew umeongea uhalisia na sio ushabiki bukoba ya kitambo ila kwenye maendeleo ipo slow sanaa tofaut na njombe yenye miaka 10 tu ipo vile sasa njombe ikifka miaka 20 itakuwa mbali sanaa
Jombe ndio wapi mkuuJombe maendeleo yapi Sasa au kupew huduma ambazo haikuwa Nazo unaona ni maendeleo?
Hizo ndo chuki na sio ukwel ila ukwel utabaki pale pale bukoba huwez kulinganganisha na iringa tena imeachwa mbali snaaa kwenye swala la maendeleo ila kimapenz lzm mtu ubishe maana unatetea kwenu ila ukwel mnaujuaHivyo vitu unavyovitaja sijui vyuo..viwanda nk...vyote bukoba vipo na vingine vinajengwa...
Bukoba haina vyuo vikuu vya umma lakin ina vyuo kibao vya kati yaan colleges, shule kibao tena zile kubwa kubwa, bukoba ina viwanda vikubwa vinne vya maji, kuna viwanda viwili vikubwa vya samaki, bukoba sio mbali na kagera sugar moja ya kiwanda kikubwa cha sukari nchini, bukoba kuna viwanda vikubwa sana vya kahawa hope ushawahi sikia Tanica...Bukoba kuna hadi viwanda vya chai nk...
Bukoba kuna bandari kubwa mbili tena zinafanya kazi na zinapanuliwa zikisubiri meli kubwa ya mv mwanza...
Bukoba mji mzima umeunganishwa na lami...na sasa wanahamia vijiji....
So nothing big kiko iringa Bukoba hakipo...tena bora bukoba ina big ports na Airport.....
Iringa ni vyuo na ya maghorofa matano ya hotel pale mjini...ambayo yako empty....
Njombe wana stendi na soko ila bukoba mna airport tu kwngne kote ovyo tu mji unatembea dakika 10 umeishaJombe maendeleo yapi Sasa au kupew huduma ambazo haikuwa Nazo unaona ni maendeleo?
Iringa ina fursa ya kililmo,iringa ndo lango la utalii kusini nzima,ndo mkoa wa kielimu kuliko bukoba,kiuchumi iringa ni industrial base, miundombinu ndo usiseme stendi ipo soko yapo hali ya hewa potential pia idadi ya watu kubwa kuliko bukoba na kimapato pia kubwa haya lete vtu vya bukoba kuizd iringaToa hoja maana kaongea fact bas toa nawe fact za iringa ambazo ni potential na znajulikana
Jibu hoja boss usipotez mda SIO mashindano ya kuandikaJombe ndio wapi mkuu
Suala la miundo mbinu bukoba adi vijijini Kuna lami,Iringa ina fursa ya kililmo,iringa ndo lango la utalii kusini nzima,ndo mkoa wa kielimu kuliko bukoba,kiuchumi iringa ni industrial base, miundombinu ndo usiseme stendi ipo soko yapo hali ya hewa potential pia idadi ya watu kubwa kuliko bukoba na kimapato pia kubwa haya lete vtu vya bukoba kuizd iringa
Hamna facts iringa Kwa lipi Sasa suala la stand ni mpango mkakati at Arusha Haina stand lakin Moro Ina standa,,pia bariad Ina stand,kahama inajengwa,hivo sio inshu sana maana Toka miaka hyo hatukuwazaga stand but hayat Ndo kaleta mambo kama hayoHizo ndo chuki na sio ukwel ila ukwel utabaki pale pale bukoba huwez kulinganganisha na iringa tena imeachwa mbali snaaa kwenye swala la maendeleo ila kimapenz lzm mtu ubishe maana unatetea kwenu ila ukwel mnaujua
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kakaSuala la miundo mbinu bukoba adi vijijini Kuna lami,
Kuna viwanda vikubwa vya samaki zaidi ya viwili,,kiwanda Cha sukari,kiwanda Cha chai,kiwanda Cha kahawa,Bandari kubwa kabisa inaunga Uganda,kiwanja Cha ndege kikubwa na Kiko bize nazani Cha TATU ukitoa dar,mwanz,,KIA,Shule za advance ni nyingi sana ihungo,nyakato,kagango,...pia Kuna vyuo kama SAUT,UDSM,JOCUCO,nk,pia Ndo mkoa una Kambi za jeshi zaidi ya mbili,na vitu vingi sana
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
Udsm wana branc mbili tu moja duce ipo dar na nyngne Muce ipo iringA hiyo udsm ya bukoba inaitwajeChuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka