Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

downloadfile(98).jpg
 
Huna akili....Imebidi nikutukane tu...Eti Njombe...njombe hii yenye kata tatu za mjini na nyumba nyingi zilizojaa kutu? Fremu kibao na nyumba zilizojengwa ovyo?...

Yaam watu mnanishangaza sana...yaan kujengewa stendi ya mabasi, soko na ghorofa mbili ndo muanze kujilinganisha na miji iliyokuweko toka zamani....
Na watu wengi wanaoiponda Bukoba ni either hawajawahi fika Bukoba na kama wamefika Bukoba wamepita tu....wengi mnaisikia Bukoba mitandaoni na mara nyingi Bukoba hupostiwa in a negative way may be kwa sababu ya wahaya....( ni kawaida kwa makabila makubwa strong kupewa sifa mbaya na makabila madogo)

Lakin Deep down ukiangalia hali ya hewa, kufikika, huduma za maji na umeme, ujenzi wa makazi, barabara za kuunganisha mitaa na mitaa, michezo na burudani yaan recreation na hata idadi kubwa ya watu kustaarabika Bukoba iko mbali sana kuliko miji mingi ya kusini Iringa ikiwemo...

Pale Bukoba kukijengwa stendi kuu na soko...matatizo yake yote kwisha maana sekta nyingine zote washamaliza....
Eti gorofa mbili 😃😃sijasema Njombe mjini Iko sawa au kuizidi bukoba Kwa sababu ya factor mbalimbali ikiwemo kuwa mji wa kisiasa just from 2012 wakati Bukoba Iko Toka 1964 lakini Kasi ya ukuaji Njombe inatisha😀 mkuu ndio maana nilikwambia Bukoba inafukuzwa na Njombe.Tazama business circulation ya Njombe na Bukoba utakuta difference ni ndogo pamoja na kuwa Bukoba inaadvantage zaidi ya Njombe Kwa kuwa Njombe logistically inaathariwa kuwa karibu na Mbeya,Iringa,Dodoma,Songea kiasi cha kumezwa mezwa.Ila huwezi fananisha Iringa na Bukoba bhana Iringa Iko mbali sana.Kumbuka Iringa inahost vyuo vikuu vitatu,inaviwanda,na ndio baba wa Mafinga wilaya yenye pato kubwa la serikali kutokana na Saohill,mufindi papers etc.Iringa pia Kwa sasa ni mikoa iliyo karibu na Ikulu.
 
Kuwa karibu na ikulu Wala sio kigezo bas morogoro ingekuwag at Jiji,,halafu ukweli sehemu wanakolima TU maendeleo ni hamna maana ukisema NJOMBE bila hayat ambaye Kila siku mnampondea but Ndo aliwajengea HOSPITALI ya Kanda,soko dogo hapo NJOMBE,stand na kuwaboreshea Barabara Sasa hicho Ndo unasema inakua au 🤣🤣
 
Eti gorofa mbili 😃😃sijasema Njombe mjini Iko sawa au kuizidi bukoba Kwa sababu ya factor mbalimbali ikiwemo kuwa mji wa kisiasa just from 2012 wakati Bukoba Iko Toka 1964 lakini Kasi ya ukuaji Njombe inatisha😀 mkuu ndio maana nilikwambia Bukoba inafukuzwa na Njombe.Tazama business circulation ya Njombe na Bukoba utakuta difference ni ndogo pamoja na kuwa Bukoba inaadvantage zaidi ya Njombe Kwa kuwa Njombe logistically inaathariwa kuwa karibu na Mbeya,Iringa,Dodoma,Songea kiasi cha kumezwa mezwa.Ila huwezi fananisha Iringa na Bukoba bhana Iringa Iko mbali sana.Kumbuka Iringa inahost vyuo vikuu vitatu,inaviwanda,na ndio baba wa Mafinga wilaya yenye pato kubwa la serikali kutokana na Saohill,mufindi papers etc.Iringa pia Kwa sasa ni mikoa iliyo karibu na Ikulu.
Kabla ya yote ushawahi kufika kahama?
 
Hakuna kitu huko kwenye magofu ya Bukoba..

Kanda ya Ziwa ni Mwanza tuu kwingine kunanuka umaskini
 
Hakuna ki

Hakuna kitu umepost uduvi leta mandhar hayo halafu uwe na aibu unataja utalii unasema kusini wakat tz nzima ukitaja mbuga lazima
Serengeti
Rubondo
Saanane
Unaelewa maana ya Mandhari kwanza? Iliishia la ngapi?
 
Back
Top Bottom