instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,490
Kwa hivyo viwanda ndo unalinganisha na kagera sugar.....Asas,chai bora, Ivory hvyo vitatu vinakutosha
Hivi unajua kagera sugar ipo top five ya viwanda vikubwa vya sukari Africa Mashariki nzima....
Ok...Bukoba kuna kiwanda cha Yetu chai....kuna viwanda vya maziwa kama kahama fresh kilichopo kwenye ranchi kubwa ya kitengule...
Bukoba kuna viwanda vya chaki kama Victoria chalks
Kuna viwanda vya juice kama Mali Juice..hiv unajua bukoba wanalima nanasi...
Kuna viwanda vya maji kibao kama Asilia, Bunena water, Tanica water, kabaga water, Zahra water nk...
Ok njoo na kingine kuhusu Iringa


.....