Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hamna facts iringa Kwa lipi Sasa suala la stand ni mpango mkakati at Arusha Haina stand lakin Moro Ina standa,,pia bariad Ina stand,kahama inajengwa,hivo sio inshu sana maana Toka miaka hyo hatukuwazaga stand but hayat Ndo kaleta mambo kama hayo
Bukoba bdo sanaaaa yan kanda ya ziwa kuna miji miwil tu mwanza na shinyanga huko kwingne ni nyumbu tu zimejaa mnazaliana kama mnaenda kuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na sehemu kama iringa,singida na Moro ndo Unaona stand finyu TU maana hakuna magari yanalala labda kidogo Moro stand magar yanalala ila singida na iringa ni njia ya kupita TU Sasa fika bukoba magari ya Kampala to mwanza,,
Yanalala stend ipi ile yenye matope mvua ikinyesha
 
Haya magari yanalala sasa faida yake nn maana mpo nyuma kimaendeleo watu wanasubl ndege ianguke wakapate rizki maisha magumu mzunguko wa hela mgumu ukishindwa kuvua basi upati kz bukoba
 
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
Kiwanda gan iringa kikubwa kitaifa kupita vya kagera sugar, na vya samaki BUKOBA? chai na kahawa?
 
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
Screenshot_20230327-201352~2.jpg
 
Eneo lipo tayr na wapo site usibishe TU pia Hilo lilikuepo kitambo sana hatimaye wamekamilisha Sasa nakuuliza unaijua BUKOBA au unaskia utani na kuamini eeeh
 
Eneo lipo tayr na wapo site usibishe TU pia Hilo lilikuepo kitambo sana hatimaye wamekamilisha Sasa nakuuliza unaijua BUKOBA au unaskia utani na kuamini eeeh
Wamekamilisha chuo kipo acha kudanganywa na wanasiasa hizo porojo tu ndo ujue bukoba bdo mnapanga kujenga chuo leo wkt iringa vyuo vikuu vyenye hadhi vipo 3 na vyuo vya kati zaid 5 utafanamishaje kaka acha kupenda kupitiliza
 
Asas,chai bora, Ivory hvyo vitatu vinakutosha
Ivory ni viwanda vya kusema kaka? Mbona hakina kabisa impact kubwa yoyote maana hata lakairo yule mjaruo mwanza anazalisha pipi karibu zote 🤣🤣,,

BUKOBA viwanda vikubwa kabisa ni vya samaki,,,kagera sugar,,chai,kahawa,,Ina Bandari kubwa ukitoa ya mwanza bas inafatia ya BUKOBA Kwa upande wa maziwa makuu inapokea meli Uganda kuchukua mizigo pia meli kubwa za mwanza zinatia nanga BUKOBA na kwenda Kenya na Uganda
 
Wamekamilisha chuo kipo acha kudanganywa na wanasiasa hizo porojo tu ndo ujue bukoba bdo mnapanga kujenga chuo leo wkt iringa vyuo vikuu vyenye hadhi vipo 3 na vyuo vya kati zaid 5 utafanamishaje kaka acha kupenda kupitiliza
Nakupa picha za site kesho mapema pia vyuo vya kat kibao yaan Kanda ya ziwa hatna chuo Cha uma tu
 
Nakupa picha za site kesho mapema pia vyuo vya kat kibao yaan Kanda ya ziwa hatna chuo Cha uma tu
Lete picha tuc
Ivory ni viwanda vya kusema kaka? Mbona hakina kabisa impact kubwa yoyote maana hata lakairo yule mjaruo mwanza anazalisha pipi karibu zote 🤣🤣,,

BUKOBA viwanda vikubwa kabisa ni vya samaki,,,kagera sugar,,chai,kahawa,,Ina Bandari kubwa ukitoa ya mwanza bas inafatia ya BUKOBA Kwa upande wa maziwa makuu inapokea meli Uganda kuchukua mizigo pia meli kubwa za mwanza zinatia nanga BUKOBA na kwenda Kenya na Uganda
Kama bandali ingekuwa na impact basi bukoba isingekuwa vile hvyp vyote vipo ila bukoba bdo ipo chini kimaendeleo
 
Haya magari yanalala sasa faida yake nn maana mpo nyuma kimaendeleo watu wanasubl ndege ianguke wakapate rizki maisha magumu mzunguko wa hela mgumu ukishindwa kuvua basi upati kz bukoba
Imebidi nikuignore tu...hauna point ya mashiko...
 
Bukoba bdo sanaaaa yan kanda ya ziwa kuna miji miwil tu mwanza na shinyanga huko kwingne ni nyumbu tu zimejaa mnazaliana kama mnaenda kuliwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Palipo na idadi ya watu wengi na maendeleo pia usishikwe na wazungu utaamuka kumekucha ebu nitajia nchi Ina watu wachache sana na Iko mbele maendeleo afrika au dunianii

Mm nakupa fact cheki china,check Nigeria,cheki south afrika nk
 
Lete picha tuc

Kama bandali ingekuwa na impact basi bukoba isingekuwa vile hvyp vyote vipo ila bukoba bdo ipo chini kimaendeleo
Kwa hiyo bandari haina impact? Kwa nini nisikuite mpumbavu....
Waulize serikali kwa nini wametumia karibu bilion 90 kukarabati mv Victoria, na kutumia zaidi ya billion 109 kujenga meli mpya ya mv mwanza itakayounganisha Bukoba na Mwanza...waulize kwa nini sasa bandari ya bukoba imeongezewa gati mpya tatu na kuongezewa kina...watu wa kusini bwana eti bandari haina impact....ungejua bandati moja ya kemondo ina impact kubwa kwa maisha ya wananchi kuliko kuwa na vyuo vikuu vitatu...

Hiv kweli na akili zako timamu unaweza linganisha kiwanda kikubwa cha kagera sugar na viwanda vya pipi na asas...

Hivyo viwanda vyote vilivyopo iringa ukiviunganisha bado havifikii kiwanda cha kagera sugar...moja ya viwanda vyenye scheme bora za kisasa za umwagiliaji....kiwanda kinazalisha hadi tani laki tano kwa mwaka ya kulisha robo ya nchi...

Wacha kisitishe uzalishaji uone nchi hii itakavyokosa sukari....refer wakati wa vita vya kagera....

Tuje kwenye viwanda vya kahawa....Bukoba kuna Tanica, Bukop, Amir amza na vile vya karagwe....
Na mind you 60% ya kahawa yote nchi inatoka mkoa huu wa kagera......

Bado kwenye Ranchi...kuna Ranchi kubwa sana ya kitengule....hii ndo hadi wanasiasa wamejimilikisha sehemu ya hii Ranchi akiwemo Magufuli....

Kuna viwanda vya kusindika maziwa vya Kule kyaka....

Bado kuna viwanda vya samaki, viwanda vya kutengeneza chaki na viwanda vya kutengeneza viungo....

NB...Nenda Bukoba vijijini utazame hizo nyumba zilizojengwa...watu wanatoa wap hizo pesa...
View attachment 2568075View attachment 2568076View attachment 2568077
 
Yanalala stend ipi ile yenye matope mvua ikinyesha
Watu wa kusini mmejengewa stendi basi ndo mnaona maendeleooo

Nenda miji ya kenya haina hizo stendi ambazo mmekopa na mnashindwa kurudisha mikopo
Stendi ya Igumbilo iko empty sijui nani aliwashauri wahamishie stendi pale....kule samora na uhindini kuna baadhi ya nyumba zimechoka sijui ni magofu....

Bado nawaza Iringa inaizidi nini Bukoba.......
Hiv iringa kuna recreation parks kweli pale...maana mnafikiri miji ni kuwa na stendi tu...hata korogwe na nanyumbu kuna stendi
 
Back
Top Bottom