KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Njoo ukaraHatuna kivuko Ile ni meli
Njoo ukaraHatuna kivuko Ile ni meli
Eti subtown...kwa hiyo subtown ndo ijengwe hovyo kama slums...Wazee wa masifa hiyo ni sub town km 26 kutoka makambako tc mzee sio sawa na mtaa wa bukoba wenye km za mraba 106
Naona unajitahid knadi u're degree of stupidityUlienda shuke kweli? Rukwa Iko Ukanda gani?
Kaka Hawa watu wa kusini kinachowasumbua ni chuki zao binafs zidi ya lake zone na hyo haitunuimi maendeleo tenda Kila siku znatekelezwa mambo mazito yanafanyika lake zone pamoja na fursa hivo usikomae na wapuuzi hawajishughulishiEti subtown...kwa hiyo subtown ndo ijengwe hovyo kama slums...
Hata bukoba ina subtowns nyingi mfano 21km from Bukoba kuna mji wa kemondo wenye bandari ya tatu kwa ukubwa kanda ya ziwa baada ya Mwanza na Bukoba ports...ni moja ya bandari kubwa ya mizigo Tz....meli zote zikitoka Mwanza hupita hapo kabla ya kwenda Bukoba....
Ndo maana ninasema watu wengi you nothing about Bukoba nk....
Unafikiri km za mraba nyingi ndo zinafanya mji uwe mji....mji wa moshi una sqkm 59 tu lakin ni mji unaonekana mji kuliko hizo slums zenu za huko kusini
Hivyo vitu unavyovitaja sijui vyuo..viwanda nk...vyote bukoba vipo na vingine vinajengwa...Eti gorofa mbilisijasema Njombe mjini Iko sawa au kuizidi bukoba Kwa sababu ya factor mbalimbali ikiwemo kuwa mji wa kisiasa just from 2012 wakati Bukoba Iko Toka 1964 lakini Kasi ya ukuaji Njombe inatisha
mkuu ndio maana nilikwambia Bukoba inafukuzwa na Njombe.Tazama business circulation ya Njombe na Bukoba utakuta difference ni ndogo pamoja na kuwa Bukoba inaadvantage zaidi ya Njombe Kwa kuwa Njombe logistically inaathariwa kuwa karibu na Mbeya,Iringa,Dodoma,Songea kiasi cha kumezwa mezwa.Ila huwezi fananisha Iringa na Bukoba bhana Iringa Iko mbali sana.Kumbuka Iringa inahost vyuo vikuu vitatu,inaviwanda,na ndio baba wa Mafinga wilaya yenye pato kubwa la serikali kutokana na Saohill,mufindi papers etc.Iringa pia Kwa sasa ni mikoa iliyo karibu na Ikulu.
Iringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.Hivyo vitu unavyovitaja sijui vyuo..viwanda nk...vyote bukoba vipo na vingine vinajengwa...
Bukoba haina vyuo vikuu vya umma lakin ina vyuo kibao vya kati yaan colleges, shule kibao tena zile kubwa kubwa, bukoba ina viwanda vikubwa vinne vya maji, kuna viwanda viwili vikubwa vya samaki, bukoba sio mbali na kagera sugar moja ya kiwanda kikubwa cha sukari nchini, bukoba kuna viwanda vikubwa sana vya kahawa hope ushawahi sikia Tanica...Bukoba kuna hadi viwanda vya chai nk...
Bukoba kuna bandari kubwa mbili tena zinafanya kazi na zinapanuliwa zikisubiri meli kubwa ya mv mwanza...
Bukoba mji mzima umeunganishwa na lami...na sasa wanahamia vijiji....
So nothing big kiko iringa Bukoba hakipo...tena bora bukoba ina big ports na Airport.....
Iringa ni vyuo na ya maghorofa matano ya hotel pale mjini...ambayo yako empty....
Post kiwanda Cha chai Sasa unasema pipi kiwanda Cha pipi nacho unasema mkuu? Ila kidogo ew unabisha kiungwana kuliko hyo shoga sunkIringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
BUKOBA na Moshi ni Toka enzi ziko na shule nying mno za advance na mpaka LeoIringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
Sasa Bukoba ndo hakuna viwanda?na kama vingekuwa ns msaada mkubwa kwa wananchi basi watu wa pwani wangekuwa matajiri nchi...kuna kitu kinahitajika kwenye mji uli uwe mji sio kurundika viwanda tu..mIringa ina viwanda vingi sana mkuu.kuanzia maji,pipi,maziwa,berages,chai,etc.
Nimecheka eti Sukuma gang watavimba piruu 🤣🤣🤣🤣
Punguzeni ushamba
Bad life