Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe ndio hujui na unashangaa ,Sasa Kwa taarifa Yako wanaishi Kila Ziwa na huku Lake Tanganyika ni wakubwa kuliko hao..

Au nikanunue saizi nikuoneshe?
Lake Tanganyika hamna hao samaki hawaishi kina kirefu mbwa ewe halafu usichojua lake Tanganyika huku lipo karibu kuliko ewe ewe kenge sjui imetokea wapi TANGANYIKA Kuna migebuka TU
 
Lake Tanganyika hamna hao samaki hawaishi kina kirefu mbwa ewe halafu usichojua lake Tanganyika huku lipo karibu kuliko ewe ewe kenge sjui imetokea wapi TANGANYIKA Kuna migebuka TU
Bwege wewe,kina kitefu ndiko wanakua wakubwa..

Harafu usikariri hiyo ni specie ya tilapia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…