Kwani hapo umeona hayo tuu?
Hilo gongo wazi nalo Bus ..limekaa kama kontena.Kwani hapo umeona hayo tuu? View attachment 2559747View attachment 2559748View attachment 2559749View attachment 2559753
Yanapita Mbeya hayapiti Mwanza hayo 😁Hadi mabasi ya Zambia mnayaleta
Rufaa njombe
Ata sisi Mwanza ukitoa Bugando hakuna hospital kama hii kanda yote ya ziwa.
Usifananishe kahama na ujinga huoKahama ikifka level hzi ndo ntakuja kubishana
Naomb picha ya kahama CBD nikuonyeshe sufuria ya plastic
Unaijua poor settlement?
Hapo kaandika mwenye akili.Malezi nayo shida.Kaka watu wafupi akili zao ziko karibu na matako wanawaza super feo ndo mme wao huko kusini, Sasa watapost Nini wakat hawana
Watu wanapambana kukusanya wewe unataka wachezee hela.We vipi unadhani mondi huwaga anakuja kahama analala wapi ???au hujiulizi kwa nini wasafi na huyo mondi mwenyewe wanapenda kuja kahama wanaangalia vitu vingi..Ikiwemo sehem za kufikia..Haya niambie ni lini mondi ashakuja huko iringa au njombe naye anaangalia na sehem za kulala ...Huwezi ukamlza mti kama mondi huko njombe
Ndio ujue umuhimu wa CSRBila pesa za Msaada za Mgodi Halmashauri za Tarime,Geita DC,Geita Tc ni kama makambi ya Wakimbizi.