KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Mbeya
Hizo nyumba unazosema Nyerere alikataa kupanga Mji fananisha na haya mabanda ya nguruwe ambayo ccm wameyapanga hapo Mwanza 😁😁
Mji wa Kisasa kama ulivyopangwa na ccm ya Nyerere 🙆🙆🤪🤪🤪🤪Sisi mji wa kisasa kenge ewe
Fukwe na beach za kimataifa View attachment 2550486
Moja ya Mji wa hovyo ni Mwanza ,80% ni Slums tena mabanda yasiyo na hadhi ya kuishi binadamu ila nguruwe..Usicheke ukisikia second largest city usichukulie poa njoo ujioneeeView attachment 2550482
Sasa si umeamua kubishana sawaKwa hiyo hiyo video ya juzi Hilo bus sio Kilimanjaro au? Acha utoto basi
New baby born in da CitySasa si umeamua kubishana sawa
Nenda kakate tiketi ya Kilimanjaro leo hii kwenda Mbeya au Tunduma
Wakikupatia njoo nidai hela yako
Utajua hujuiIsamilo ni kampuni ya mwanza kenge wewe
Utajua hujui
Moja ya Mji wa hovyo ni Mwanza ,80% ni Slums tena mabanda yasiyo na hadhi ya kuishi binadamu ila nguruwe..
Sijui Huwa mnapata wapi ujasiri wa kujilinganisha na Mji kama Arusha,Dom,Mbeya.
Sehemu nzuri ni za kutafutiza Kwa tochi.
Uko desperate na umechanganyikiwa,mtu unakaa Kakola huko hata Mwanza huijui,hii ni Mwanza mtaa gani? 😁😁😁😁View attachment 2550588
Unapost gar kampun ya ISAMAILO ya jijini MWANZANera hyo kenge eweunapost
Njoo ujioneee NERA PARKINGMoja ya Mji wa hovyo ni Mwanza ,80% ni Slums tena mabanda yasiyo na hadhi ya kuishi binadamu ila nguruwe..
Sijui Huwa mnapata wapi ujasiri wa kujilinganisha na Mji kama Arusha,Dom,Mbeya.
Sehemu nzuri ni za kutafutiza Kwa tochi.
Uko desperate na umechanganyikiwa,mtu unakaa Kakola huko hata Mwanza huijui,hii ni Mwanza mtaa gani? 😁😁😁😁View attachment 2550588
Leta Mwanza Mpya ya huko milimani 😁😁😁😁Unapost picha za mwanza ya 2012 😂😂