Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Atakayeona picha yeyote inayoelezea uzuri wa Mikoa ya wenye njaa anitag Niko palee Namanyere.😜😜

Njombe 👇
 
Pimbi ni pimbi TU ngoja nikpe kwanza doz halafu nikupe na uzr wa Jiji la kahama
Screenshot_20230314-082955.jpg
 
Kokote Duniani Watalii wakisikia Serengeti automatically wanajua ni Arusha na ndio maana Arusha Airport na Kia ziko busy huwezi Kuta Mwanza Kuna wazungu wanakuja Ili waende Serengeti 😁😁😁😁.

Njombe tena 👇

Hamna vivutio hapo labda kuvutia nyuki na vipepeo kufanya pollination TU njoo uone fahar ya nchi na afrika nzima
Screenshot_20230314-084239.jpg
 
Sikia pimbi nikupe ukweli wa Kijiji chenu Cha mbeya

Siasa zilianza kuiathiri Mbeya tangu enzi za Nyerere. Nyerere hakuipenda kabisa Mbeya.
Hata uwanja wa Sokoine ulitakiwa ujengwe na Wachina, Nyerere akakataa, akaamuru ujengwe na wafungwa. Ukaitwa jina uwanja wa Mapinduzi.

Serikali ilikuwa haijihangaishi na kupanga mji kwa mpangilio. Uzunguni, Uhindini, Soko Matola, 🇬🇭 Ghana, Majengo na Mbata ilipangwa na wazungu na sio CCM.

Serikali ya CCM ilipanga mitaa ya Soweto a.k.a Block Q, Ilimba, Sae, na Block T.
Zaidi ya hapo hamna ilichokifanya, labda ianze kuupanga na kuupima mji kisasa hivi leo
 
Kwa hiyo unataka tukusaidiaje? Mabanda ya nguruwe huko Mwanza yamepangwa na ccm au? 🤣🤣🤣🤣
 
Mpaka Leo mnajenga nyumba mnafunikia masufuria
Screenshot_20230314-114550~2.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230314-114605~2.jpg
    Screenshot_20230314-114605~2.jpg
    40 KB · Views: 6
Back
Top Bottom