Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Leta Mwanza Mpya ya huko milimani 😁😁😁😁
Mwza mpya hii
downloadfile(93).jpg
downloadfile(94).jpg
 
Mitaa ipo wapi? Huwa mnapita wapi mlienda makwenu?

Narudia hapa umetafuta penye nafuu , kwingine kote kumejaa uchafu,hapo nyuma ya bugando tuu ni mauchafu ya kufa mtu.
Tena nyuma ya BUGANDO ndo kuzuri kinoma kama ukifika miaka ya tisini pole sana kama unataka ligi ya mwanza na Kijiji chenu Cha mbeya sema
 
Unaijua bwiru wealth, pansias, Ghana,buzuruga,nyasaka kirumba,capripoint,mwananchi,nk
 
Unaijua bwiru wealth, pansias, Ghana,buzuruga,nyasaka kirumba,capripoint,mwananchi,
 
Uchafu wote huko kusini ambao mnaona ni kivutio kusanya zote lakin znakalishwa na hifadhi ya sanane ambayo ipo ndani ya Jiji la MWANZA
 
Unajua kusini watu wake ni pimbi ndo maana maendeleo Hamna inabid muungane na kigoma
 
Back
Top Bottom