KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
😂😂😂 Mbona doro ukiwekeza mbeya hasara tu
😂😂😂 Mbona doro ukiwekeza mbeya hasara tu
Ina manufaa Kahama na Mwanza 😀😀Unajua hiyo reli kusini imepita TU yaan Haina manufaa kwenu kabisa
Njoo lake zone ujioneee uzuri wa nchi usiishi matakoni mwa nchiUnajua hiyo reli kusini imepita TU yaan Haina manufaa kwenu kabisa
Utqhangaika sana kama unataka kutaga..😂😂😂 Mbona doro ukiwekeza mbeya hasara tu
Napajua pote ni utopolo Sasa hapo maajabu Yako wapi Sasa
Maajabu haya hapa Sasa 😝😝😝Napajua pote ni utopolo Sasa hapo maajabu Yako wapi Sasa
Nenda kote utakutana na maskini ukame na mavumbi 😀😀Just imagine niingie geita,bukoba,mara,simiyu, nitakutendea haki au ntaonekana mnyanyasaji wa haki za wanyama pori wa kusini