Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe Kila Kona now ni mwendo wa gorofa manyumbu wamekazana kunyanyua mapaa wanajua ndo gorofa soon mtaletwa kujifunza ujenzi wa makazi njombe
Kanda ya ziwa ghorofa sio kitu Cha ajabu naona unajizima data huku umeona picha kibao nimetma
 
GDP=Gross Domestic Products

GDP ni Jumla ya bidhaa au huduma zilizozalishwa kwa kipindi husika mara nyingi hupimwa kwa mwaka mmoja

Songea wanalima Mahindi na sio Songea tuseme Mkoa wa Ruvuma

Yawezekana wanalima sana lakini yanasafirishwa nje ya mkoa au nchi huku wakulima wakilipwa makombo na mkoa ukibakiwa na leftovers tu

GDP inakuwa assigned in Monetary terms yaani Value

Ndio maana kuna malalamiko mengi kuhusu Pato la mtu mmoja mmoja yaani per Capita income

Per capita income=GDP gawa kwa idadi ya watu P, Population

Sasa Yawezekana Kilimo cha mahindi Songea wamehodhi wafanyabiashara wachache wakubwa na hii inaathiri mahesabu ya GDP pamoja na Per capital income

Angalia idadi ya watu Songea mjini Halafu Angalia uzalishaji wao, Yawezekana idadi ya watu ni ndogo sana hivyo inafanya GDP ionekane kubwa sana

Mfano Mbinga ina Kahawa hata GDP yao Itakuwa kubwa kutokana na uuzaji wa Kahawa lakini Kiuhalisia maisha ya Mbinga kwa Raia ni hovyo hata wilaya yenyewe,

Je Katika bidhaa au huduma zinazozalishwa kiasi gani kinapatikani kujenga Songea, Yawezekana GDP ni kubwa kutokana na Kahawa Mbinga, Korosho Tunduru na Mahindi Namtumbo

Songea wao wanabakiwa na kitu gani au uwezo wa GDP ya Mbinga ndio inaathiri Songea ionekane hali nzuri

Mkuu vipimo vya GDP hivi ni economic theory na zina limitation nyingi na zina boreshwa kila siku, Sio halisia sana

Songea hakuna viwanda vya maana vinavyoajiri watu wengi na Kutengeneza uzalishaji, Uzalishaji mkubwa unao boost GDP yao ni Mahindi na Kahawa ya Mbinga, Lakini Mashamba makubwa Mbinga au ya Mahindi unakuta yanamilikiwa na watu wachache Wengine wanalima kidogo sana kwa chakula na kuuza hivyo inaathiri Maendeleo ya Songea

Soma tafiti zinasemaje, We don't have data's ndio maana nimeuliza mbona mkoa haupigi hatua upo pale pale miaka yote lakini hapa nimeuliza mji wa Songea sio mko wa Ruvuma

Uangalie vizuri ule mji wa Songea tu achana na mkoa wa Ruvuma , Songea kama mji kuna shida,Mjk hauna infrastructure za maana
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Kim jong liu, Adilinanduguze and JS Dairy Farm
713
713
Senior Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#27
Shida hamna muingiliano wa watu yan wapo wangoni na makabila mengine ya huko ila serikali ingejenga vyuo hata vitatu pangekuwa na watu mbali mbali na mzunguko ungekuwa mkubwa na maendeleo ila itabaki hiv hivo mpka nyerere arudi viongozi wanawaza matumbo kama ilivo wilaya ya Namtumbo hovyo kabsa
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Artificial Horizon, Avriel and mawardat
Matengura
Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#28
Airfryer said:
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.

Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjini?

Huu mji kwa maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, zaidi ya miaka 18 niliyoondoka huku no changes!

Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma droo hapa mjini.

Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashimo.

Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga huko. Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya bar.

Songea ukisema leo natoka ni kwenda bar, hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mjini.

Wazoefu wa miji, huu mji una tatizo gani?

Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopita. Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mikoa.

Soko la hapa Songea Mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana na kamejibana sana, kwanini wasiliamishe soko hilo?!

Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, sijajua kwanini waliamua kuacha soko la mtindo huu.

Kuna stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mpya.

Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha daladala hivi.

Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanuzi.

Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao wamejenga stand nzuri na za kisasa sana.

Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana.

Jumatatu naelekea Lindi, nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodoma.
Click to expand...Sasa kama ww utaki kulata maendeleo unaisi nani ataleta aza ww jenga hotel moja zuri na vitu vingine nawengine watafanya ivyo
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Lavit
Lavit
Lavit
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#29
Wabongo kwa lawama, hizo bar nzuri na majengo marefu unataka ajenge nani!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Kenan john, Mr the dragon, ozigizaga and 1 other person
Lavit
Lavit
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#30
Mac15 said:
Sasa kama ww utaki kulata maendeleo unaisi nani ataleta aza ww jenga hotel moja zuri na vitu vingine nawengine watafanya ivyo
Mtu kama huyo anasubiri wanaume wenzake ndo wajenge, ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Mr the dragon and twende-kazi
Matengura
Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#31
Lavit said:
Mtu kama huyo anasubiri wanaume wenzake ndo wajenge, ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kazi kulaumu tu minikajua yeye kamaliza ujezi
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Lavit and twende-kazi
ROGATH MCHAU
ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#32
instanbul said:
Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk

NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora sasa sijui wanatumia vigezo vip

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Click to expand...HAPO KWENYE GDP SIO KWELI ETI INAIZIDI KILIMANJARO?!!!
GDP INAITAJA KILIMANJARO KWENYE NAFASI TATU ZA JUU.
FUATILIA VIZURI UHAKIKISHE.
Thanks Quote ReplyReport
Peramiho yetu
Peramiho yetu
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#33
Mleta mada umeongea ukweli wala hijapunguza neno hata kidogo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
ngome1838
ngome1838
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#34
Airfryer said:
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.

Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjini?

Huu mji kwa maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, zaidi ya miaka 18 niliyoondoka huku no changes!

Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma droo hapa mjini.

Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashimo.

Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga huko. Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya bar.

Songea ukisema leo natoka ni kwenda bar, hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mjini.

Wazoefu wa miji, huu mji una tatizo gani?

Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopita. Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mikoa.

Soko la hapa Songea Mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana na kamejibana sana, kwanini wasiliamishe soko hilo?!

Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, sijajua kwanini waliamua kuacha soko la mtindo huu.

Kuna stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mpya.

Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha daladala hivi.

Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanuzi.

Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao wamejenga stand nzuri na za kisasa sana.

Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana.

Jumatatu naelekea Lindi, nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodoma.
Click to expand...Jenga wewe hayo maghorofa na sisi tuyaone
Thanks Quote ReplyReport
ThanksNzuri Reactions:Lavit, twende-kazi and The Sunk Cost Fallacy
instanbul
instanbul
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#35
Kim jong liu said:
Naomba unisadie kunijibu Hilo swali uliloniuliza
Wanapikaga data hao

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
DR BILGERT
DR BILGERT
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#36
Umefika Mpwapwa au Kongwa?
Thanks Quote ReplyReport
ThanksKicheko Reactions:Adilinanduguze, Dejane, THOMASS SANKARA and 2 others
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#37
Airfryer said:
Nimefika mkoa wa Ruvuma hapa mjini Songea baada ya miaka 18 tangu mwaka 2004, sioni mambo mapya kabisa wala ukuaji wa mji.

Hapa mjini naona majengo ni yale yale tu zaidi majengo kidogo sana yameongezeka kama pale opposite na Bank ya NMB zamani tulisema ni eneo la TANESCO. Kitu gani kinazuia majengo marefu hapa Songea mjini?

Huu mji kwa maendeleo ya vitu naona ni negative growth hasa infrastructure, zaidi ya miaka 18 niliyoondoka huku no changes!

Boda boda zipo nyingi sana hapa mjini tofauti na wakati huo nilipoondoka, sijajua watu wanatembea kwa umakini kiasi gani maana boda boda na watu ni kama idadi sawa au ngoma droo hapa mjini.

Soko la majengo kule zamani tuliita mitumbani hakuna mabadiliko makubwa sana zaidi ya bara bara za hapa na pale lakini wakati huo kulikuwa na lami yenye mashimo mashimo.

Mjini hakuna barabara za maana zaidi ya barabara itokayo bombambili mpaka Mbinga huko. Mji haujapanuka kabisa, Unatembea nusu saa tu umemaliza, hakuna sehemu za kuvutia na sehemu za mitoko zaidi ya bar.

Songea ukisema leo natoka ni kwenda bar, hakuna amsha amsha niliyoiona hapa Songea mjini.

Wazoefu wa miji, huu mji una tatizo gani?

Nilipita Njombe imebadilika sana sana tofauti na Njombe ile ya miaka 18 iliyopita. Hii ni Songea mjini lakini ni kama upo kwenye wilaya za ndani ndani huko za baadhi ya mikoa.

Soko la hapa Songea Mjini hata silielewi vizuri ni kasoko kadogo sana na kamejibana sana, kwanini wasiliamishe soko hilo?!

Kulikuwa na kampeni za kujenga masoko na stand wakati wa JPM, sijajua kwanini waliamua kuacha soko la mtindo huu.

Kuna stand mpya lakini haivutii kabisa kabisa zaidi ya kuweka lami, hakuna jengo kubwa la maana la abiria kwenye stand mpya.

Wamejenga stand mpya mbele ya msamala ukitokea mjini lakini bado wamefeli vibaya sana ni kama kituo cha daladala hivi.

Bar zipo zipo sana labda ndio sehemu ya starehe lakini hazina quality inayotakiwa kwa watu wala bata na matanuzi.

Mikoa hii ya kusini kuna tatizo kama hata stand mikoa walipata nao pesa za mgao wamejenga stand nzuri na za kisasa sana.

Kwa hiyo Songea hata ukapeleka mabilioni ya pesa za Serikali bado huu mji unalala usingizi tu, Kwa miaka 18 niliyotoka nimesikitika sana.

Jumatatu naelekea Lindi, nipo mapumzikoni hivyo natembea tembea kwenye hii mikoa nilianzia safari Dodoma.
Click to expand...Yaani unajiongelesha wakati unafahamu walau kuna mabadiliko ya msingi kama hizo barabara zote za kuingia na kutoka mkoani zote ni lami,zamani hazikuwepo..

Barabara za mjini hapo nk.

Mambo ya majengo marefu huwa hayajengwi kama Pambo Mzee ni biashara..

Pamoja na kupondea huko kwenu mimi bado naona Songea itakuwa na fursa kubwa Sana tuu mara baada ya barabara za kuingia Msumbiji kuwa lami na pia barabara ya kutokea Morogoro ikikamilika..

Mwisho airport mpya imejengwa, hospital mpya ya Mkoa imejengwa nk nk.
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mpwayungu village and AS Abri
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#38
OllaChuga Oc said:
Kusini mwa Tz Kuna laana kule kulishazindikwa ndio maana nchi haikui hii.
Pumbavu
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mpwayungu village, adriz and Jana Ulirudi Usiku
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#39
instanbul said:
Walau mna hata stendi mpya?

Miji mingine hata stendi hakuna

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
😄😄😄😄 Kagera kuna ujumbe wenu huku 👇
Attachments
Screenshot_20220903-130348.png
Screenshot_20220903-130348.png
325.6 KB · Views: 16
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mpwayungu village and THOMASS SANKARA
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Sep 3, 2022
Add bookmark
#40
instanbul said:
Lakin mbona NBS inautaja kuwa top five ya mikoa tajiri nchini kwa GDP kuzidi mikoa maarufu kama Kilimanjaro, kagera nk

NBS inataja mkoa wa Ruvuma kama mkoa wa nane nchini kwa maisha bora sasa sijui wanatumia vigezo vip

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Click to expand...Mtoa mada anataka eti akute kuna maviwanja ya kula Bata kama Dar,Arusha,Dom,Mwanza,Mbeya hivyo yaani kwamba ndio kigezo cha maendeleo 😆😆..
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Adilinanduguze, Lavit, mpwayungu village and 1 other person
First
Prev
2 of 11
Next
Last

Write your reply...

Post reply

Attach files
Similar Discussions
Safari ya Songea
Started by zwangandaba Feb 15, 2023 Replies: 55
Habari na Hoja mchanganyiko
Mradi wa golf Songea manispaa umekwama wapi?
Started by kindigiwa Feb 24, 2023 Replies: 1
Habari na Hoja mchanganyiko
Kuishi Mjini vs kuishi kwenye Vijiji vilivyochangamka
Started by mwanyaluke Feb 1, 2023 Replies: 18
Habari na Hoja mchanganyiko
Lycaon pictus
Kwanini Serikali haikatazi kufuga mjini lakini inakataza kulima?
Started by Lycaon pictus Nov 17, 2022 Replies: 1
Habari na Hoja mchanganyiko
Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?
Started by DALALI MKUU Feb 14, 2023 Replies: 33
Habari na Hoja mchanganyiko
Share:
Facebook
Twitter
Reddit
WhatsApp
Email
Link
Habari na Hoja mchanganyiko
Contact us Terms Privacy Policy Help
19 Reactions
Reply
Top
Bottom
Google Translate
Original text
Contribute a better translation
 
Screenshot_20230313-233710.jpg
 
Najua huna picha utarudia rudia picha pimbi ew nakupa hii waziri anakuja Jiji la samaki Tena
IMG-20230314-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom