KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Hawajui hao pimbi maana maendeleo kwao karibia yameanza 2015 pia watu hawawekez huko maana hakuna biashara na watu wa huko hawana muda na refreshment wako bize wanalima halafu tunanua mazao Bei che tunaleta kwetu Kwa biasharaVijiji ni reserv ya mji kutanuka,kama walivyo fanya dodoma jiji,mipaka ya dodoma jiji kuna vijiji na mapoli kuruhusu mji ukue hapo baadae hii ni advantej kwamji,utapo taka kupanda hadhi ya juu zaidi eneo haito kua kikwazo kama ilivyo kikwazo kwa mji wa moshi.