Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kila siku mnaliwa na mamba et mnachot maji Si Bora mpigwe rad mfe tugeuze mashamba ukanda wenu hamna mnafany mnatia hasara taifa linaonekan kubwa kumbe kna watu hawana vyanzo vya mapato kujikwamua kimaendeleo pimbi nyie
Njaa mbaya ,njaa ni fedhela 😂😂
Screenshot_20230311-130437.jpg
Screenshot_20230311-130517.jpg
 
Hapo nyingi zipo Arusha, arusha ndio mahali kwenye njaa pamoja na manyara.
😂😂😂😁😁😁 kama kawaida unatafuta pa kutokea 🤣😆🤪

Njaa ni fedhela , huwezi pata maendelea kama hujadhibiti njaa..

Malizaneni na njaa kwanza ndio mje kushindana na Njombe na Kusini Kwa Maendelea
 
😂😂😂😁😁😁 kama kawaida unatafuta pa kutokea 🤣😆🤪

Njaa ni fedhela , huwezi pata maendelea kama hujadhibiti njaa..

Malizaneni na njaa kwanza ndio mje kushindana na Njombe na Kusini Kwa Maendelea
Kuhusu njaa waulize arusha na manyara au kwasabanau wapo karibu kenya, huku kanda ya ziwa tunakula na kusaza bwege wewe.
 
Back
Top Bottom