ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,275
- 89,638
- Thread starter
- #13,461
Kati ya Tunduma na Kahama wapi Kuna Malori? 🤪🤪🤪🤪🤪🤪Kenge kasema stand ya malori amesahau Mimi nmepost bonge la stand kahama tena stand ya malori yote afrika mashariki maana ni Bandari kavu pia Jiji la biashara