Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Shinyanga ni Mkoa Mzee lakini hawana hospital ya Mkoa yenye hadhi kama hii ya Njombe
thumb_64_1130_500_0_0_auto.jpg

Hahaha Hawa manyumbu kweli eti HiYo ndo ilingane na ya mkoa wa njombe
 
Ata bukoba wameanza kujenga kule kwa wakina nshomile wakina instabul.
Uwe unaelewa,kinachojengwa Mbeya sio Cha Bukoba..

Udsm ipo Mbeya mwaka wa 6 Sasa wanatumia majengo ya Rufaa Kanda ya Mbeya ,huko wanajenga tawi Mbeya ni University College ,majengo yake yakitimia itakuwa full fledged university kama Saut Mbeya Sasa ni Chuo Kikuu sio tawi tena.
 
Nilitka kushangaa manyumbuni yapewe chuo
 
Kahama mjini ina vijiji 45 alaf ndo manispaa
Vijiji ni reserv ya mji kutanuka,kama walivyo fanya dodoma jiji,mipaka ya dodoma jiji kuna vijiji na mapoli kuruhusu mji ukue hapo baadae hii ni advantej kwamji,utapo taka kupanda hadhi ya juu zaidi eneo haito kua kikwazo kama ilivyo kikwazo kwa mji wa moshi.
 
Back
Top Bottom