Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Alaf unasema kahama ni mji hv unaakili timamu maana mji lzma uwe na CBD yake sasa mji unakuwa kama mtaa wa kihesa pale iringa town
Ona huyu mhehe usipanik utajinyonga Bure, maana kahama CBD na mitaa Kwa ujumla Iko na lami za kutosha na watu hawalali biashara 24hrs uliza wahehe waliopo kahama wakujibu
 
Iringa imeizd kahama ukubwa wa mji iringa mji una kata 18 kahama kata 11 ni level za mafinga yenye kata 9 iringa imeizd kahama usafi mpangilio wa mji na huduma za kijamii mfano mashule hospital na elimu,miundombinu pia hali ya hewa ya kusini huwez kufananisha na lake zone
Usipotoshe uma,kahama mc ina kata 20 na siyo 11 kama unavyo dai wew.kahama wilaya ina halmashauli 3 , ambozo ni kahama mc kata 20, ushetu kata 20,msalala kata 18. idad ya watu ni milion 1 na lak2.
 
Naomb uthibitisho wa hiyo takwimu
Unataka uthibitisho pimbi ew huu hapa
Screenshot_20230311-120016~2.jpg
 
Nani kapost mipa hoteli Sasa na Kam imepostiwa ni bahat mbaya but kahama Ina vitu na hoteli kubwa sana akina mond,alkiba,na wengine huja kpiga show kwann isiwe njombe?
Hizi Ndo hoteli mzee leta za mkoa wa shinyanga kama hazi fanani na lodge njombe region ni fire
maxresdefault(13).jpg
137466675.jpg
FB_IMG_16777220132761310.jpg
wp7ee2664b_05_06(0).jpg
-hotel-2263443.jpg
IMG_20220904_183641_633-scaled.jpg
caption(0).jpg
C42MaTSVcAAicY9.jpg
IMG_0959.JPG
getlstd-property-photo.jpg

H
 

Attachments

  • wp7ee2664b_05_06.jpg
    wp7ee2664b_05_06.jpg
    63.3 KB · Views: 4
Kahama inaizidi sio TU tunduma mkoa wote wa njombe na kusini Kwa ujumla

1;;Kahama Kuna Bandari kavu ipo isaka,tren hushusha mizigo na magari yote ya Burundi,Rwanda,Kongo,Kenya na Uganda,
2:kahama Kuna SGR
3:Kuna mgodi buzwagi
4;kahama mji wa kibiashara na Tanzania nzima miji ya biashara ndo yenye maendeleo kuliko miji yote
Nikikuita mpumbavu utalaumu? Jibu swali Kwa vyote hivyo Kahama inaizidi nini Tunduma? Au hivyo vimewasaidiaje hapo gulioni?
 
Hyo inakalishwa na hospitali ya mara pekee hujaja mwanza,, nyie mmejengewa juzi na hayat Kwa huruma lakin sisi Jiji lipo na hospitali kubwa kabisa ukiacha muhimbili inafata BUGANDO lakin pia tunayo ya sekou toure nayo ni zaidi ya hyo yenu
Staki blaa blaa leta hospital ya gorofa 6 kama hiyo huko Vijijini kwenu
 
Ila kwakweli Sasa hyo hoteli haifikii at marine hoteli ya wilaya kahama

Kumbeken kahama wilaya halafu njombe mkoa lakin still doro
Sasa huko ni Rural MbambaBay Nyasa ila inakimbiza huoni kwamba nyie ni maskini?
 
Back
Top Bottom