Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Hao wachapakazi 80% ni wasukuma walizamia huko kwenye mashamb ya wavivu, tunalima huko tunapata pesa tunaenda kujenga mahotel kahama.Magulio Yako Lake zone, Nyanda za Juu Kusini Kuna wachapa kazi