KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Haijalishi lakin still tunaongoza Kwa Kila kitu maana kungekuwa na watu wa mbeya kimaendeleo lake zone ningekubali lakin still ni sisi tunapiga Jiji linapepea,, njoo miji midogo ambayo sio wilaya lakin njombe hafikii njoo KATORO, RUNZEWE,USHIROMBO, MASUMBWE,Kanda inayoongoza kuwa na washamba weng tz ni kanda ya ziwa kwa wasukuma