KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Mtanyooka sana mbwa nyie
Halafu pia njoon kushangaa lake zone SGR ni fly overKahama
Halafu pia njoon kushangaa lake zone SGR ni fly overKahama
Enzi gani? Hata hospital hamna.We kondoo mwenye mimba ya mwendazake kwani hatujui kahama ilikuwa imekidhi vigezo toka hedhi hizo lakini fitina za watu kama nyie ndio zilichelewesha.
Enzi gani? Hata hospital hamna.
Naomb CBD ya kahamaMbeya Haina hadhi Barabara tope halafu uchochoro ikifika saa tatu mji unakuwa kimya Sasa utalinganisha na kahama kweli mji makini 24hrs
Sasa unyumbuni kuna kivutio ganToa hoja mm nimekup fact watalii wanakuja na ndo tumepiga JPM bridge, na SGR, maana Kuna hivyo nilitaja haya pimbi taka huko kwenu Kuna Nini Cha kumleta mzungu mbwa nyie
Baada ya kubanwa mbavu na mkoa wa njombe hadi unathubutu kusema gorofa hili lipo shinyanga wakati lipo mwanza Nyerere road yan ww bado sana
Nyie mlianza kutuona lini? 🤪🤪 Rais wenu alishindwa hata kuwamalizia lile hofu lenu bila Samia mungekoma..Hutu tu vitu ndio mmeanza kutuona mwaka huu naona vinawatia uwendawazimu poleni sana kwa kuchelewa.
Mikoa maskin Tanzania inatoka ukanda gan kama sio unyumbuniAcha ujuaji hilo dude mipa hotel ipo kahama mjini, nenda kajifungue naona uchungu umekushika.
Tuleteeni vifaa tiba vya nyie mliowahi tuvione na Nina uhakika hamna 🤣🤣Acha kujibu kama mdada aliyekataliwa mimba, leta facts hapa werevu tuzichambue.
Ni vituko full mavumbi hawezi kuweka 🤪🤪Naomb CBD ya kahama
Yet mnaongoza Kwa umaskini 😝😝Kanda ya ziwa Kila kitu kipo
Serengeti
Lake victory
Lubondo island national park
Sanane island reserve
Bismark rock
Minerals
International airport mwanza
Tushatoa chambua kama utaweza maana ufupi nao hasara ubongo wako uko karibu na mavi yakoTuleteeni vifaa tiba vya nyie mliowahi tuvione na Nina uhakika hamna 🤣🤣
Magulio Yako Lake zone, Nyanda za Juu Kusini Kuna wachapa kaziWeka idadi ya manispaa kwenye hiyo kanda nzima ya magulio tulinganishe na idadi ya manispaa zilizopo kanda ya ziwa.
Havipo lazima utafute Mpango wa kutokea 🤣🤣Tushatoa chambua kama utaweza maana ufupi nao hasara ubongo wako uko karibu na mavi yako
Tena hilo daraja litakuwa ni chanzo kingine cha utalii kanda ya ziwa, zile kanda za watu wenye chuki na kanda ya ziwa wajiandae kupata ugonjwa wa kideli.Toa hoja mm nimekup fact watalii wanakuja na ndo tumepiga JPM bridge, na SGR, maana Kuna hivyo nilitaja haya pimbi taka huko kwenu Kuna Nini Cha kumleta mzungu mbwa nyie
Njombe ndio limkoa linaloongoza kwa watu wenye utapiamlo a viribatumbo na udumavu wa akili pamoj na mwili.Usifananishe njombe yenye miaka 10 ya kuwa mkoa na mkoa wenyew miaka 50 ila bdo wananchi wako maskin mbk leo ni jambo la aibu
Endeleeni kujifurahisha, na kujipa umaarufu kupitia kahama, amna chochote cha kuizidi kahama wala kujifananisha nayo.Una Mwonea kahama Haina CBD
Kama wanautapiamlo wanakimbiza wangekuwa hawana ingekuaje? Kuwa na nywele nyingi sio kuwa na akili nyingi..Njombe ndio limkoa linaloongoza kwa watu wenye utapiamlo a viribatumbo na udumavu wa akili pamoj na mwili.
Iko wapi? 😂😂Endeleeni kujifurahisha, na kujipa umaarufu kupitia kahama, amna chochote cha kuizidi kahama wala kujifananisha nayo.
Kwhy mbk sasa kahama haina CBD kakaTushatoa chambua kama utaweza maana ufupi nao hasara ubongo wako uko karibu na mavi yako