Mwenda zake aliikuta kahama ikiwa tayali imekamilisha mchakato wa kua manispaa pamoja na ilemela,ila ye ndo alo zuia kwa sababu watu walimpigia kura nying lowasa,mwamba akachukia,akasitisha.anae bisha atafute hotuba ya mizengo pinda ya kuhitimisha bunge 2015,kupitia iyo hotuba wazili mkuu pinda alitangaza maeneo yalio pandishwa hadhi,kahama ikiwa imepandishwa hadhi ya manispaa pamoja na ilemela.ndio maana 2020 kahama walipiga kura nyingi kwa ccm mwamba akafurah ndo akaipa manispaa aloizui yeye mwenyewe.hata moshi wapige kura nying2 wata pewatu jiji,vigezo sio lazima vitimie vyote vingine vitatimia mbele ya safar.maana ukisema vigezo vilivyo vingi ni wajibu waselikali,wanachi wakitimiza upandewao selikali inabidi iwapatie hadhi usika wakati ikijipanga kutimiza vigezo vya upande wake.