waza the white pelle
Member
- Nov 24, 2022
- 85
- 36
Kahama ni Manispaa jina tuu aliyowapa Jiwe ila Haina lolote..
Mwisho wewe unadhani Kahama inazidi Tunduma Kwa lipi?
mkipewa manispaa kahama itakuwa jiji
Kahama ni Manispaa jina tuu aliyowapa Jiwe ila Haina lolote..
Mwisho wewe unadhani Kahama inazidi Tunduma Kwa lipi?
Bdo sanaa
Mji wa mafingaMafinga ni wilaya .Mji au manispaa naomba jibu tafadhali
Sukuma gang ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio tatizo lao ni uhaba wa majengo ya gorofa Hawajui mengine ni makazi ya watu au ofisi
Kwa sababu ya yule Rais wenu failurekwanini nyie msipewe hyo hadhi kama mnaizidi kahama
Mawazo mgando au umedandia Uzi bila kusoma Rudi nyume hatua moja tu utaona Kila kituMji wa biashara usio na mapato ya maana ni gulio la Kijiji 😝😝
Ndio maana hakuna hoteli Bali Kuna ma lodges maana watu hawana pesa ni wachuuzi
Tupe fursa zinazopatkana njombe nam nikupe za kahamaKwa sababu ya yule Rais wenu failure
Hyo inakalishwa na hospitali ya mara pekee hujaja mwanza,, nyie mmejengewa juzi na hayat Kwa huruma lakin sisi Jiji lipo na hospitali kubwa kabisa ukiacha muhimbili inafata BUGANDO lakin pia tunayo ya sekou toure nayo ni zaidi ya hyo yenuLazima wanune maana kwao hakuna hospital kama hii View attachment 2545692
Mbeya ilipewa hadhi ya Jiji Ili kusionekane ukanda maana kusini pekee Iko doro Kwa Kila kitu hivo wakasema acha tuipe mbeya wafarijikeHuo ni utani na sio uhalisia kama itashindwa kufutwa tanga kwenye list ya majiji basi mbeya haiwez kufutwa
Porojo hazina tija tajen fursa za jombe Nas tutaje za kahamaAlaf kuna kenge mmoja anafananisha lake zone na southern zone,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ingekuwa unachoongea ni kwel basi ningeumia ila kwakuwa ni jokes acha tuendelee kucheka siku ziendeMbeya ilipewa hadhi ya Jiji Ili kusionekane ukanda maana kusini pekee Iko doro Kwa Kila kitu hivo wakasema acha tuipe mbeya wafarijike
Njombe kuna biashara ya madini na kilimo na kahama kuna biashara ya madiniPorojo hazina tija tajen fursa za jombe Nas tutaje za kahama
Kahama ni Manispaa jina tuu aliyowapa Jiwe ila Haina lolote..
Mwisho wewe unadhani Kahama inazidi Tunduma Kwa lipi?
Sio jokes ew ukiangalia mbeya inafanana kuwa Jiji ukweli Hilo ni Yale ya nipen kura nitangaze mkoa wenu kuwa jijiIngekuwa unachoongea ni kwel basi ningeumia ila kwakuwa ni jokes acha tuendelee kucheka siku ziende
Njombe kuna biashara ya madini na kilimo na kahama kuna biashara ya madini
Nipe sifa za kuwa jiji na huwez kuutangaza mkoa au mji wkt hata wew umeshindwa kujitangaza anza kutangaza mji wenu wa washamba huko ndo uje kwa wajanjaSio jokes ew ukiangalia mbeya inafanana kuwa Jiji ukweli Hilo ni Yale ya nipen kura nitangaze mkoa wenu kuwa jiji
Kama bil hayat kujenga hiyo hospital ya ghorofa na hiyo lift yenu ya mwaka 2014 mngeficha wap sura maana now mnaona mmeupiga mwingi kumbe ushamba tembeeni majiji muoneSio jokes ew ukiangalia mbeya inafanana kuwa Jiji ukweli Hilo ni Yale ya nipen kura nitangaze mkoa wenu kuwa jiji
Kanda inayoongoza kuwa na washamba weng tz ni kanda ya ziwa kwa wasukumaSio jokes ew ukiangalia mbeya inafanana kuwa Jiji ukweli Hilo ni Yale ya nipen kura nitangaze mkoa wenu kuwa jiji
OteNipe sifa za kuwa jiji na huwez kuutangaza mkoa au mji wkt hata wew umeshindwa kujitangaza anza kutangaza mji wenu wa washamba huko ndo uje kwa wajanja
Mkoa wa shinyanga hili ndo gororo refu wanaita tower ndo mnakuja kushinda na mkoa wa njombe asee shinyanga maendeleo bado Sana mnasafari ndefu Sana kuikuta njombe afu jamaa bila aibu anaposti gorofa za mwanza eti ipo shinyangaIla kwakweli Sasa hyo hoteli haifikii at marine hoteli ya wilaya kahama
Kumbeken kahama wilaya halafu njombe mkoa lakin still doro
Basi kanda ya ziwa yote ni majiji ili nafsi yako iendelee kujidangnyaMbeya sifa zokes mbeya Haina zote
Quality of infrastructure and planning
Congestion/ population density
Ote