Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha kutuletea picha za dar hapa shinyanga inafahamika mzee njombe ilishaipita hadi mmeanza kuchanganyikiwa mnaleta miradi ya NHC dsm
 
Meta Hospital,Mbeya
eliasikavira_1678464518912437.jpg
eliasikavira_1678464518912259.jpg
eliasikavira_1678464518912960.jpg
eliasikavira_1678464558705698.jpg
 
Wako ziwani hawana maji 😁😁

Bil.146 itafuta shida ya Maji Songea Kwa miaka 20 ijayo..

Mwaka gani wilaya yoyote ya kusini imeongoza mapato??? mikoa ya hovyo hovyo tu angalia hili li manispaa linapambana na jiji kubwa africa dar es salaam.. halaf zinakuja kenge na bundi chache zinalinganisha KAHAMA manispaa na njombe mkoa wenye hauna manispaa!!! what kind of this ujinga???
FKQjT3oXoAAO7wi.jpg
 
Mwaka gani ubungo kaja huko kupata somo..wakubwa kwa wakubwa tu ndo wanajuana KAHAMA na UBUNGO yaani manispaa..Et mkoa hauna manispaa huo ni mkoa au wilaya??
thumb_2120_800x420_0_0_auto.jpeg
 
Mwaka gani wilaya yoyote ya kusini imeongoza mapato??? mikoa ya hovyo hovyo tu angalia hili li manispaa linapambana na jiji kubwa africa dar es salaam.. halaf zinakuja kenge na bundi chache zinalinganisha KAHAMA manispaa na njombe mkoa wenye hauna manispaa!!! what kind of this ujinga???
View attachment 2545101
Ukipunguza ujinga utapata akili

Post
Kwa sababu huko ndiko Kuna ng'ombe wasiojitambua wamerundikana kwenye mazizi wanaita nyumba😁😁

Wanasiasa wanajua Nyanda za Juu tunajitambua hawawezi kuleta upuuzi huku.
Post nyumba za Kanda ya ziwa ambazo ni zizi huku hatna nyumba za miti kenge ew
 
siku zingine mnapoleta maada humu muwe mnaangalia hadhi ndo mnalinganisha ..Yaani huwezi linganisha manispaa na mji ..Labda ungelinganisha mji wa geita na mji wa njombe hapo ingekaa vizuri
 
siku zingine mnapoleta maada humu muwe mnaangalia hadhi ndo mnalinganisha ..Yaani huwezi linganisha manispaa na mji ..Labda ungelinganisha mji wa geita na mji wa njombe hapo ingekaa vizuri
Kahama imeizidi Njombe hao maskini waojazana hapo hakuna kingine na wewe unajua
 
Back
Top Bottom