ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,218
- 85,092
- Thread starter
- #13,061
Okay but Ofisi ya RC wa Njombe ni wapi? Mbona jengo lake sijawahi lifahamu liliko?Nitaiweka maana maofisi mengi Kule yamekamilika
Okay but Ofisi ya RC wa Njombe ni wapi? Mbona jengo lake sijawahi lifahamu liliko?Nitaiweka maana maofisi mengi Kule yamekamilika
Ndo Hilo HiYo picha ilipigwa Muda kidogo Lipo lunyanywi now lipo ukingoni wanapiga finishing ofisi zote za mkoa zimehamishiwa eneo hili na makazi ya watumishi wote kuna gorofa za kutoshaOkay but Ofisi ya RC wa Njombe ni wapi? Mbona jengo lake sijawahi lifahamu liliko?
Rador ya Songwe Airport Mbeya
Leta picha sie hatuko concerned na wakara wako wa wakorosai ,hii sio thread ya waumini ni thread ya kuona Kwa macho na takwimu 🤪🤪Ubishi ambao Hauna maana kusini huwez linganisha na lake zone ata kidogo lake zone Iko juu hat ikiwa nchi inajitosheleza Kila kitu kipo na inasomga mbele na miji imeendelea sana pia at viongoz wanapendelea sana lake zone maazimisho na matamasha pamoja na ziara maana watu wengi pia wanakuwa na nguvu kuongea Kwa kuwa maendeleo yapo ila kusini aliyewakumbka alikuwa hayat MAGUFULI ndo kaikumbka sana kusini kaweka Barabara adi home Kwa hayat mkapa, pia kaweka hospitali mtwara kajenga lami.
Kumbka huku lake zone ukiongelea ruvuma ambayo ndo SONGEA na hiyo Lindi watu hawajui kama Kuna watu wanaishi huko maana hata haiongelew sana Kwa habari
Pia nakumbka kipindi flan walisema maendeleo yawe kikanda lakin ilipingwa na kusema Kuna ukanda watakufa njaa hasa mkoa wa ruvuma Hauna mapato Wala chochote Cha maana hivo inabebwa kishikaji na ndio maana Pako doro,,
Namaliza kusema mtaongea sana ila KAHAMA sio mchezo mm mwenyew nashangaaga huu mji ni balaa sana na ndo maana wasanii wakipiga festival lazima wafike KAHAMA Bora waache mikoani lakin KAHAMA. Lazima
Kuna majengo hatari,,supermarket,mahoteli ya maana ad mashirika makubwa yamewekeza hapo kama NSSF ambapo kusini hamna ad mbeya ndo wamejenga juzi TU NSSF,hii ni kuangalia wajenge Kuna Nini?
Kahama mitaa kama yote Ina lami japo sio ya kiwango sana baadhi ya mitaa lakin Ina lami,
Ina milk stand ya malori yote afrika mashariki
Cha mwisho Kaa ukijua KAHAMA ni mji wa biashara
Na hayo madongo mekundu ni rafiki mzuri wa wale wadudu wanaopenda kukaa kwa vidole vya miguuni vya binadamu.Hawa na Kasulu Kigoma wanapaswa kuwa majiraniMbona mavumbi na madongo mekundu Kila Kona ...hizo nyumba za mababu zipo katikati ya mji![]()


If wishes were Horses....Umeishiwa Mabasi Hadi unachafua Uzi Kwa malori we panya buku?.
Hivi ndivyo Mbeya itafanana baada ya ujenzi wa njia 4, Katikati kutaachwa upana wa mita 9 na itaonekana kam Sam NujomaView attachment 2542223


Huu ni uchafu Kwa mji wa kahama cheki hapa
Mnaongea kama mmekatwa vichwa. Shinyanga majengo yanayoendelea kujengwa ni ×2.6 ya majengo yanayojengwa njombe.Na takwimu zikichuliwa kwa Sasa Hawa tumesha waburuza tayari maana njombe zinazojengwa Sasa ni nyingi mno Yani Hawa labda wafichamiage kwenye Chaka la idadi ya watu ila kwa maendeleo watasubiri Sana mkoa wa njombe now upo moto Sana Jamii yake inajitambua watu wanajenga kwelkweli haya Kuna nyingine HiYo Ina nyanyukaView attachment 2543761View attachment 2543764View attachment 2543765View attachment 2543763 View attachment 2543749
Shinyanga idad ya magorofa 358.Wap mkoa shinyanga tuliwambia mtupe gorofa Tano tu zenye floor kuanzia Tano mmekimbia hata hamuonekani mkoa wa njombe upo moto umeanza jiran mikoa mingi tz hainusi kwa mkoa wa njombe kimaendeleo hapa tuna kupa fact sio maneno ya vijiwe vya kahawaView attachment 2543804View attachment 2543798View attachment 2543800View attachment 2543789View attachment 2543791View attachment 2543792View attachment 2543794View attachment 2543795View attachment 2543797View attachment 2543810View attachment 2543790![]()
.Kama gorofa ni kitu cha msingi pwani na morogoro yangekuwa majiji kabla ya mbeya.Bandar tunayo na bado wazir kasema iboreshwe ili meli yeny thamni ya bandar yenu plus 30B ifanye kaziBil.70 kujenga Bandari ya MbambaBay..
Hakuna mradi mkubwa kama huu wa Ujenzi wa Bandari Lake zone yote
View attachment 2543863
Hjaona picha za mji wa kahama inakimbiza mkoa wenuLeta picha sie hatuko concerned na wakara wako wa wakorosai ,hii sio thread ya waumini ni thread ya kuona Kwa macho na takwimu 🤪🤪
Eti showroomShow room ya kuuzia magari ndani ya mkoa wa njombe
View attachment 2543398
