Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkoa mzima wa Shinyanga wenye Manispaa 2 unazidi Mkoa wa Njombe Mpya Kwa gorofa 36 tuu.🤪🤪
Screenshot_20230225-131348.jpg


Inamaana hiyo Miji yenu Njombe inaipita mbali sana,hapo Shinyanga ni Mkoa mkongwe.
 
Mkoa mzima wa Shinyanga wenye Manispaa 2 unazidi Mkoa wa Njombe Mpya Kwa gorofa 20 tuu 🤪🤪

Inamaana hiyo Miji yenu Njombe inaipita mbali sana.
Na takwimu zikichuliwa kwa Sasa Hawa tumesha waburuza tayari maana njombe zinazojengwa Sasa ni nyingi mno Yani Hawa labda wafichamiage kwenye Chaka la idadi ya watu ila kwa maendeleo watasubiri Sana mkoa wa njombe now upo moto Sana Jamii yake inajitambua watu wanajenga kwelkweli haya Kuna nyingine HiYo Ina nyanyuka
6505410a.jpg
1(1).jpg
FB_IMG_16772545673955896.jpg
IMG_20230204_121421_714.jpg
IMG-20210608-WA0070.jpg
 
Wap mkoa shinyanga tuliwambia mtupe gorofa Tano tu zenye floor kuanzia Tano mmekimbia hata hamuonekani mkoa wa njombe upo moto umeanza jiran mikoa mingi tz hainusi kwa mkoa wa njombe kimaendeleo hapa tuna kupa fact sio maneno ya vijiwe vya kahawa
FB_IMG_16767160511667178.jpg
FB_IMG_16755158178720861~2.jpg
FB_IMG_16721135230541475~2.jpg
FB_IMG_16784136373713509.jpg
FB_IMG_16784134605787982.jpg
FB_IMG_16767161007412638.jpg
FB_IMG_16766547325583326.jpg
FB_IMG_16766126458904099.jpg
6526152.jpeg
fb_img_16679690953607052-jpg.2543806
FB_IMG_16766546296696178.jpg
FB_IMG_16784133309097618.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16679690953607052.jpg
    FB_IMG_16679690953607052.jpg
    21.6 KB · Views: 18
Unavoingia kwenye mkoa huu unakaribishwa na viunga tofauti tofauti barabarani
Dx5ePtgX0AAoeDa.jpg

FB_IMG_16676312485395943.jpg

FB_IMG_16676312485395943.jpg

thumb_693_800x420_0_0_auto.jpg

FHxqfRGWQAcUL_u.jpg
 
#Picha :-Mwonekano wa Majengo ya Shule Mpya ya Sekondari ya Lunyanywi iliyopo kata Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe

#Kaziiendelee Njombemji
FB_IMG_1678416466698.jpg
FB_IMG_1678416463541.jpg
FB_IMG_1678416450972.jpg
FB_IMG_1678416481133.jpg
FB_IMG_1678416472133.jpg
FB_IMG_1678416459744.jpg
 
KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA NJOMBE YA RIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NJOMBE TC

Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa njombe waridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri ya mji wa njombe katika Miradi ya Shule Sekondari Lunyanywi na Mradi wa Maji uliopo Kata ya Lugenge .

Akizungumza kwa nyakati tofauti mara baada ya ukaguzi wa miradi hiyo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe Mhe.Deo Sanga amesema ameridhishwa na na jenzi wa miradi hiyo ambayoitaenda kutatua changamoto ambazo wananchi walikua wakikabiliana nazo kutokana na juhudi kubwa za Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani.

''Nipongeze Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe kwa kusimamia vema fedha za serikali na ufanyajaji wenu wa kazi kwa kiwango kubwa hasa katika utekelezajiwa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ''

Aidha akiendelea kuzungumza Mhe.Deo Sanga katika ukaguzi wa Shule Sekondari ya Lunyaywi amesema katika miradi ambayo amepita katika mkoa wa Njombe mradi wa Shule hiyo unatia matumaini kwa namna shule ilivo jengwa kwa kiwango kikubwa na usimamizi ulio bora mpaka kukamilika kwa ujenzi huo.

''Hakika Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Njombe na Mkurugenzi Mtendaji wanafanya kazi kubwa ili kuhakikisha maendeleo yana wafikia wananchi kwa serikali yao mbayo inaongwazwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa namna wanavyo fanya kazi kwa bidi chini ya usimamizi mathubuti wa Mkuu wa Wilya ya Njombe Mhe.Kissa Kasongwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe.Anthony Mtaka''
FB_IMG_1678416356732.jpg
FB_IMG_1678416348953.jpg
FB_IMG_1678416331724.jpg
FB_IMG_1678416334237.jpg
FB_IMG_1678416317116.jpg
FB_IMG_1678416320592.jpg
 
#HABARI :Jumla ya miradi 5 yenye thamani ya shilingi bilioni 2.9 imetiwa saini na wakandarasi mbalimbali wanaokwenda kuitekeleza katika Mkoa wa Njombe.

Akiwasilisha taarifa hiyo ya utiaji saini na wakandarasi hao mbele ya kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa Njombe na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi katika ukumbi wa Halmashauri ya mji Njombe Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Njombe Mhandisi Sadick Chaka amesema katika Halmashauri ya mji Njombe Ujenzi wa mabwawa ya Maji taka katika Mtaa wa Ngalanga wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.2 chini ya mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Njombe mjini(NJUWASA) kuanza kutekelezwa.

Aidha Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony Mtaka amewaomba wakandarasi kwenda kutekeleza miradi hiyo kwa wakati ili kepukana na usumbufu huku akiwaonya wakandarasi amabao hawatatekeleza vema miradi hiyo serikali haita wafumbia macho.

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga amewataka wakandarasi kwenda kutekeleza miradi hiyo kadri mikataba yao inavyowataka huku Mbunge wa Jimbo la Njombe mjini Deo Mwanyika amesema uekelezwaji wa miradi hiyo ni ahueni mkubwa kwa wananchi .
FB_IMG_1678416650923.jpg
 
Bil.70 kujenga Bandari ya MbambaBay..

Hakuna mradi mkubwa kama huu wa Ujenzi wa Bandari Lake zone yote

FB_IMG_1678417324856.jpg
 

Marufu ya mji wa serikali maana ofisi za idara zote za mkoa zimejengwa kwenye mji huu hii Inaonesha ni jinsi gani mkoa wa njombe unataka uonyeshe mfano kwa mikoa mingine maana jambo kama hili lime fanyika dodoma Sasa ni mkoa wa njombe na hii ilifanyika baada ya kuigawa iliyokuwa wilaya ya njombe katika zone nne kama walivo fanya wilaya ya dodoma mjini
FB_IMG_16780704641722221.jpg
FB_IMG_16780704391154126.jpg
A-map-showing-the-study-districts-and-their-respective-wards-in-Njombe-region-Tanzania~2.jpg
Map-showing-administrative-boundaries-of-Dodoma-municipal-urban-district(0).jpg
EcfKWlqWAAExAiA.jpg
 
Back
Top Bottom