Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Shinyanga hyo msilinganishe na vimiji vyenu hvo sjui vinjombe visongea na hicho kijiji cha mbeya
 

Attachments

  • living-area (2).jpg
    living-area (2).jpg
    55 KB · Views: 9
  • KAHAMA+TOWN.jpg
    KAHAMA+TOWN.jpg
    43.3 KB · Views: 13
  • 305372.jpg
    305372.jpg
    16.2 KB · Views: 10
  • malaika-hotel-frontview_221_147shar-50brig-20_c1.jpg
    malaika-hotel-frontview_221_147shar-50brig-20_c1.jpg
    9.2 KB · Views: 10
  • karena-hotel-shinyanga (1).jpg
    karena-hotel-shinyanga (1).jpg
    43.9 KB · Views: 9
  • malaika-hotel-1410270-2.jpg
    malaika-hotel-1410270-2.jpg
    37.4 KB · Views: 10
  • karena-hotel (2).jpg
    karena-hotel (2).jpg
    20.6 KB · Views: 10
  • karena-hotel (1).jpg
    karena-hotel (1).jpg
    75.8 KB · Views: 11
  • karena-hotel-shinyanga.jpg
    karena-hotel-shinyanga.jpg
    31.9 KB · Views: 13
  • sddefault.jpg
    sddefault.jpg
    61.1 KB · Views: 11
  • karena-hotel.jpg
    karena-hotel.jpg
    36.9 KB · Views: 9
  • living-area (3).jpg
    living-area (3).jpg
    55 KB · Views: 9
  • 17483752.jpg
    17483752.jpg
    83.1 KB · Views: 10
  • Shinyanga-Travel-Guide.jpg
    Shinyanga-Travel-Guide.jpg
    67.5 KB · Views: 11
Parachichi Vs Dhahabu, tukiwaambia barabara za Njombe zinatengenezwa kwa dhahabu ya Kahama mnasonya, sasa kataeni na hizi data hapa.
View attachment 2508491

Bado Samaki na mazao yake imemeza mbao na chai zote za Njombe, Tanzanite na yenyewe inapumulia mashine hukoo

Tukiwaambia uchumi wa nchi ni dhahabu muwe mnaelewa....
Sijaelewa hizo malighafi tatu za mwisho zinatofautianaje na chanzo cha hizi takwimu pia bosi.
 
Umeishiwa Mabasi Hadi unachafua Uzi Kwa malori we panya buku?.

Hivi ndivyo Mbeya itafanana baada ya ujenzi wa njia 4, Katikati kutaachwa upande wa mita 9 na itaonekana kam Sam Nujoma View attachment 2542223
Mlinge ...mbeya imejaa mabanda kiasi kwamba hata mjengewe eight lanes hamwezi kuwa mwonekano Zaid ya kuwa kama hapa
1675596048146.jpg
 
Mlinge ...mbeya imejaa mabanda kiasi kwamba hata mjengewe eight lanes hamwezi kuwa mwonekano Zaid ya kuwa kama hapaView attachment 2542736
Sasa hata ubishe,ivimbe,unune nk haitakusaidia , yaani hayo mabanda unayoyataja hayatazuia ujenzi wa Barabara kuwa hivyo nilivyokuambia na kama unabisha sema nikuletee video ya Chief wa TanRoads akieleza..

Hatuwezi kujenga dual carriage za kishenzi kama hizo za Mwanza,Arusha nk ,itakuwa ya mfano for future developments kwenye brt ,nk.
 
Sasa hata ubishe,ivimbe,unune nk haitakusaidia , yaani hayo mabanda unayoyataja hayatazuia ujenzi wa Barabara kuwa hivyo nilivyokuambia na kama unabisha sema nikuletee video ya Chief wa TanRoads akieleza..

Hatuwezi kujenga dual carriage za kishenzi kama hizo za Mwanza,Arusha nk ,itakuwa ya mfano for future developments kwenye brt ,nk.
Jidanganye... kwamba wapi hawajengewi BRT ,,,,stop being dumb
 
Back
Top Bottom