Miradi ya bilion 1 au 2 sisi hatuijadili. Mwanza hiyo ni nyumba ya kuishi.Someni taratibu bila kununa.
Tunduma
Mwanza ipi unayoizungumzia wewe? Ya Kwimba au?Miradi ya bilion 1 au 2 sisi hatuijadili. Mwanza hiyo ni nyumba ya kuishi.
VINA MUDAAA 🤫Lol! Tutawanyoosha nyinyi mzee baba Magu kaza hivyo hivyo
Wakati Kahama wamejenga kwa mapato ya ndani jengo la zaidi ya B 2.6 bila msaada wa TAMISEMI. Halafu hata hawalingi sasaSomeni taratibu bila kununa.
Tunduma
Mkuu kweli unapajua vizuri sana njombeMkuu mimi sipo kishabiki bali nitakupa ukweli,kwanza umekosea kulinganisha mkoa na wilaya,Njombe ni mkoa ina wilaya 4 na Halmashauri 6 ambapo mafinga na kahama zote ni wilaya.kwa kuangalia fursa za kibiashara katik hayo maeneo uliyotaja Njombe wilaya na hata Mkoa ipo mbali sana kuzidi hizo wilaya ulizozitaja.
Lakini kwa point yako sehemu ya wewe kuanzia fursa nitakushauri uende kahama kwa sababu zifuatazo
1.Ni vigumu sana kufanya biashara ya aina yoyote Njombe/mafinga kama sio mzawa au mshirikina
2.Njombe hamna mchanganiko wa watu wa mikoa mingine,tofauti na wafanyakazi wa serikalini,so bado wana mambo ya kizamani ya undugu na ukwetu.
So it is better uende kahama
Mkuu kweli unapajua vizuri sana njombe
Sasa wewe una matatizo yaani hako Ka hospital kabaya ka 2.6 ndio kanakushushua?W
Wakati Kahama wamejenga kwa mapato ya ndani jengo la zaidi ya B 2.6 bila msaada wa TAMISEMI. Halafu hata hawalingi sasa
View attachment 2518719