Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe
Screenshot_20230208-220010.jpg
 
Arusha is the best ila Sina ndoto za kuishi Home sweet home According to huu Acha niifikirie kahama mh ila nasikia shinyanga Kuna wachawi balaa amtaki wageni Nini niende zangu tu Goba instead of kigamboni
 
na wewe bila shaka umeshkuwa mchawi
 
Parachichi Vs Dhahabu, tukiwaambia barabara za Njombe zinatengenezwa kwa dhahabu ya Kahama mnasonya, sasa kataeni na hizi data hapa.
View attachment 2508491

Bado Samaki na mazao yake imemeza mbao na chai zote za Njombe, Tanzanite na yenyewe inapumulia mashine hukoo 😛 😛 😛 😛

Tukiwaambia uchumi wa nchi ni dhahabu muwe mnaelewa....
Sisi tupo kwenye bidhaa za bustani,mbao,chai,Makaa ya mawe,nafaka nk..nadhani umeoverlook.
 
Tunduma TC imetoa ombi rasmi Kwa Serikali Ili kuipandisha hadhi kuwa Manispaa..

Si Haki Halmashauri ya Mji yenye Makusanyo zaidi ya Bil.14 Kwa mwaka kuwa na hadhi ya Mji..

Back
Top Bottom