Huyu ni mteja wetu hapa milembe, ana majina matatu jf zikiamka Huwa anaona mabasi ni usafiri wa watu wenye pesa. Ndege na SGR ni usafiri wa masikini. Ni huyu huyu ukimbana sana anakimbilia picha za sumbawanga. Tulijua kapona tukamruhusu kumbe ngoma inogileBasi ngoja tusubirie ila nakuhakikishia Mwanza kamwe haiwezi kuvuka 800,000 na Kwa sababu hata ongezeko la Mkoa kiujumla ni chini ya mil.1.
Nakuhakikishia Dodoma ndio itanufaika pakubwa na ongezeko la watu maana ndio Mkoa pekee ambao umeongea wakazi wake Kwa zaidi ya mil.1 na watu si chini ya 300k wamehamia Dodoma Mjini.


