The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Nauli Dar-Mza 120,000/- enzi zile ni fastjet 2 way hiyoKo zimeisha au
Libanika
Allys
New best line
travel partner
Happy national (soon)
isamilo Express
Kisesa express
Hizi zote ni VIP NA VVIP
hivi mbeya Kuna VVIP hata Moja kweli kama hili dubwanaView attachment 2506977View attachment 2506978
Dogo unatanua magoli tuAlisema nani? Subiria Sgr ije tuone kama atatoboa


, na bado hii ndio Lake Zone bhuana
😁😁😁😁Dogo unatanua magoli tu, na bado hii ndio Lake Zone bhuana
Bahati nzuri Mgodi wa pili Kwa ukibwa wa dhahabu uko Chunya Mbeya,Chunya ni namba 2 baada ya Kahama..Parachichi Vs Dhahabu, tukiwaambia barabara za Njombe zinatengenezwa kwa dhahabu ya Kahama mnasonya, sasa kataeni na hizi data hapa.
View attachment 2508491
Bado Samaki na mazao yake imemeza mbao na chai zote za Njombe, Tanzanite na yenyewe inapumulia mashine hukoo 😛 😛 😛 😛
Tukiwaambia uchumi wa nchi ni dhahabu muwe mnaelewa....
Acha ufala dogo dad yakoDogo unatanua magoli tu, na bado hii ndio Lake Zone bhuana
Dogo ni dogo tu, nimekuachia Hostel utaendelea kuwa dogoAcha ufala dogo dad yako
Bahati nzuri Mgodi wa pili Kwa ukibwa wa dhahabu uko Chunya Mbeya,Chunya ni namba 2 baada ya Kahama..
On top of that Kuna makaa ya mawe,kokoa,mbao,bidhaa za matunda,nafaka bila kusahau Madini mengine, vyote hivyo ni chata Nyanda za Juu Kusini.
2023
Bahati nzuri Mgodi wa pili Kwa ukibwa wa dhahabu uko Chunya Mbeya,Chunya ni namba 2 baada ya Kahama..
On top of that Kuna makaa ya mawe,kokoa,mbao,bidhaa za matunda,nafaka bila kusahau Madini mengine, vyote hivyo ni chata Nyanda za Juu Kusini.
2023
Ningeshangaa coz kuna takwimu nilisoma GGM ni ya Pili Africa baada ya kampuni iliyopo JbergMgodi wa pili, huoni hata aibu, kawadanganye Wagagaigikoko wenzako.
View attachment 2508517
Na bado inakuja Nyanzaga ndio utakuwa mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania hii 23.4 km square.....tunaawaambia tena Souther Highland mnapata barabara kwa ufadhili wa dhahabu za LZ
Namaanisha ni Mgodi wa pili baad ya GGMYaani Mgodi wa Chunya uzidi GGM?
Kahama Kwa Sasa hakuna Mgodi unaofanya kazi so Mgodi wa pili baada ya GGM ni WA Chunya.Mgodi wa pili, huoni hata aibu, kawadanganye Wagagaigikoko wenzako.
View attachment 2508517
Na bado inakuja Nyanzaga ndio utakuwa mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania hii 23.4 km square.....tunaawaambia tena Souther Highland mnapata barabara kwa ufadhili wa dhahabu za LZ
Boya weweDogo ni dogo tu, nimekuachia Hostel utaendelea kuwa dogo
Bulyanhulu ni ya Dodoma?Kahama Kwa Sasa hakuna Mgodi unaofanya kazi so Mgodi wa pili baada ya GGM ni WA Chunya.
Boya bado ni brother tu, haibadilishi kitu. Kuwa na adabuBoya wewe

Migodi ya huko Kahama imeshafungwa kitambo tuuBulyanhulu ni ya Dodoma?
Hiyo CSR ya kujenga km 75 imetoka GGM eti???Migodi ya huko Kahama imeshafungwa kitambo tuu
Nyie kwenu Kuna migodi ya maparachichiMigodi ya huko Kahama imeshafungwa kitambo tuu
We kweli dogo .. bulyanhulu ,,ipo korogwe eti ,...by the way buzwagi operation zishaanza upya ...soon maji mtayaita mmaMigodi ya huko Kahama imeshafungwa kitambo tuu