ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,296
- 85,151
- Thread starter
- #12,361
Kila sehemu tupo
Kila sehemu tupo
Kwan ww sio Yeye🤔🤔🤔Wamempa ban,atakuwepo mwisho wa mwezi![]()
Ndio sio yeyeKwan ww sio Yeye![]()


Endelea kujidanganya ,, takwimu za mwaka 2016 ...be aware nbs wanatoa takwimu mwezi wa tatu ....hamna halmashauri yenye data za watu mpaka sasaNdio sio yeye
Updates Mwanza Jiji(Nyamagana na Ilemela) imeshindwa kufikisha Wakazi Mil.moja,jumla ni 830,000 tuu..
Mbeya nayo imeshindwa kufikisha Wakazi Laki tano,wako 468,000 tuu..
Halmashauri zingine Bado hazijafanya updates kwenye website zao ikiwemo Dodoma cc na Arusha Cc
Una uhakika mwanza jiji ni Nyamagana na ilemela?Ndio sio yeye
Updates Mwanza Jiji(Nyamagana na Ilemela) imeshindwa kufikisha Wakazi Mil.moja,jumla ni 830,000 tuu..
Mbeya nayo imeshindwa kufikisha Wakazi Laki tano,wako 468,000 tuu..
Halmashauri zingine Bado hazijafanya updates kwenye website zao ikiwemo Dodoma cc na Arusha Cc
..Ingia kwenye tovutiView attachment 2513609Una uhakika mwanza jiji ni Nyamagana na ilemela?..
Mimi najua mwanza jiji ni nyamagana peke yake....ilemela ni manispaa inajitegemea...
Wew hiyo mwanza jiji gani unaongelea....
Mwanza jiji+ ilemela watu million wanafika na kuzidi....
Endelea kujidanganya ,, takwimu za mwaka 2016 ...be aware nbs wanatoa takwimu mwezi wa tatu ....hamna halmashauri yenye data za watu mpaka sasa





unajifariji sio?Kwa taarifa yako ,,,hyo figure ilikuwepo Toka mwaka Jana 2021 ..,,,na hizo ni estimate za mwaka 2016 ...unajifariji sio?
Hizo takwimu ziko sahihi Mzee,wame update .
Swala la NBS kutoa takwimu mwezi wa 3, Wala halizuii kujua hesabu ya watu baada ya sensa Kwa Kila ngazi..
Kitakachotolewa mwezi wa 3 ni uchambuzi wenye mambo mengi sio ya idadi ya watu kwenye Miji pekee
Usilinganishe disorganized uswazi town ya Kahama na Njombe Mji wa wastaarabu na Matajiri wa TanzaniaKahama pako vizuri japo njombe nayo siyo haba ila miji yote inanivutia sana
Acha uongo wewe,mwaka 2023 waweke estimates za 2016?Kwa taarifa yako ,,,hyo figure ilikuwepo Toka mwaka Jana 2021 ..,,,na hizo ni estimate za mwaka 2016 ...
Nina screenshot ya tarehe 11 august ya nyamaganaAcha uongo wewe,mwaka 2023 waweke estimates za 2016?
Acha utaahira,ambao hawaja update taarifa zao wameweka figures za sensa ya 2012

Hamna takwimu za sensa hii Kwa level ya halmashauri ambazo zimetoka ......Hadi nbs watoe kwanza mwezi marchAcha uongo wewe,mwaka 2023 waweke estimates za 2016?
Acha utaahira,ambao hawaja update taarifa zao wameweka figures za sensa ya 2012
Sasa wewe unasubiria za kutoka NBS,hivi Waliokuwa wanahesabu Kwa ngazi za Halmashauri hawana takwimu?Hamna takwimu za sensa hii Kwa level ya halmashauri ambazo zimetoka ......Hadi nbs watoe kwanza mwezi march
Basi ngoja tusubirie ila nakuhakikishia Mwanza kamwe haiwezi kuvuka 800,000 na Kwa sababu hata ongezeko la Mkoa kiujumla ni chini ya mil.1.Nina screenshot ya tarehe 11 august ya nyamaganaView attachment 2513669
Si wewe unafikiri hatukujui, kitumbua wewe😀😀😀😀Wamempa ban,atakuwepo mwisho wa mwezi![]()
Unajua nini wewe wakati unafugwa tuUsilinganishe disorganized uswazi town ya Kahama na Njombe Mji wa wastaarabu na Matajiri wa Tanzania