😀😀😀😀😀😀😀Finishing inaendelea makambako tc
View attachment 2506106
Njombe Ina Hospital Bora sio hii mabweni
Vitendo vip toka unaanza nakuchora tu unarudia project zile zile wenzio suala la ujenz walisha nyosha mikonoNi muda wa vitendo sasa, tumechoka na Tambo zenu
Shangaa na wewe,Njombe imezidi Kahama MC Kila kitu kasoro idadi maskini mjini na mapato tuu.Njombe Town Council (Halmashauri ya mji Njombe) unataka upambane vs Kahama Municipal Council - Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Hivi kweli Halmashauri ya Mji ipambane na Manispaa?
Nilikuwa na mchora Huyo nimetupia project za makambako tu tayari maji shingoniNjombe Ina Hospital Bora sio hii mabweni
Projects Gani na wewe umetupia hebu ona aibu basi acha kubwabwajaNilikuwa na mchora Huyo nimetupia project za makambako tu tayari maji shingoni
uliFinishing inaendelea makambako tc
View attachment 2506106
Tukana walioanzisha Uzi usitutukane wote tafadhari kuwa na adabu. Hawa akina fala sunk kila siku wanatamba humu tumeamua kuwajibu hatimaye. So, kuwa mwelewa.Hivi watu wa nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa mi lini mtaacha ushamba? Lini mtastaarabika? Mara mshabikie mabasi sauli, Golden Deer sijui NewFocrcw, sijui Ally's Stars. Mnashbikia na kubet kwasababu ya mali za wanaume wenzenu. Mara ligi katika miji, mbona wenzenu wa kaskazini huwezi kuwapata ktkt huu ushamba wenu? Ni kwamba hayo mambo ndiyo mmeyajua siku za hivi karibuni? Kweli umaskini unawasumbua na udumavu wa akili. Njombe na Mafinga nayo ni miji ya kuja kuiandika huku JF? Ni kwamba hamjatembea kabisa. Mafinga ule ni mji mi mbona naona sqwatas tu, hata Njome mji uko wapi, mkiona jengo moja tu mnakuja kulirusha. Acheni ushamba ficheni huu ujinga wenu. Ondoeni hii thread imekuwa kichefuchefu maana ni muda mrefu mnairudisha kila mara, ficheni hii aibu.
uli
Nasema Tena leta njombe, mafinga na makambako combined vs kahamaNjombe Ina Hospital Bora sio hii mabweni
Wewe ni taahira,Kahama haiwezi ingia Kwa Mafinga sembuse Njombe?Nasema Tena leta njombe, mafinga na makambako combined vs kahama
Naam, njoo hivyo hivyo vs kahamaEeh what? Njombe View attachment 2506163View attachment 2506164