Billion 100+ inashushwa ziwani ni zaidi ya bombardier 1 na chenjiTujikumbushe kidogo View attachment 2508901

Ziwa ni bottleneck so Wala Haina impacts yeyete hapoBillion 100+ inashushwa ziwani ni zaidi ya bombardier 1 na chenji![]()
Mgodi wa pili, huoni hata aibu, kawadanganye Wagagaigikoko wenzako.
View attachment 2508517
Na bado inakuja Nyanzaga ndio utakuwa mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania hii 23.4 km square.....tunaawaambia tena Souther Highland mnapata barabara kwa ufadhili wa dhahabu za LZ
Geita utasemaje sasa ,,,vip bariadi nayoMwaka 2011 hii ilikuwa wilaya moja ya njombe dc kabla mkoa haijaanzishwa kutokana na Kasi ya ukuaji imezaa halmashauri tatu ambazo kutoka halmashauri moja kwenda nyingi ni km 30 ni eneo lenye ukubwa wa km za mraba 8000 plus sawa na wilaya ya mufindi ila ndo eneo lenye watu wengi kimkoa kama laki sita plusView attachment 2509034
View attachment 2509026
View attachment 2509027
View attachment 2509028
View attachment 2509030
View attachment 2509031
Ni lini utakuwa na akili Mzee? Yaani GDP ya 12 ndio inajenga Nchi?Ndio maana serikali inaogopa sana utawala wa majimbo kwasababu kands ya ziwa ndio inajenga nchi lakini tunazidi kunyonywa kila siku.
Mtakula Madini? Huoni wabunge wenu wanavyolia njaa huko?Kanda ya ziwa ina export asilimia 90 ya dhahabu nchini..Kwa hyo kwenye trillion 6.5 ,,trilion 5.9 zinatoka Kanda ya ziwa ....
Kanda ya ziwa ina export asilimia 95 ya samaki nchini kwenye bilion 388 ,,bilion 300 zinatoka Kanda ya ziwa ..in addition Kanda ya ziwa ina export asilimia 98 ya pamba na asilimia:50 ya kahawA ... source BOT.View attachment 2509060
Geita Gani mzee ya kulinganisha na eneo Hilo ambalo tayali wamegawa halmashauri nne na zipo fire hatariGeita utasemaje sasa ,,,vip bariadi nayo
Geita wilaya imezaa halmashauri 4 ..geita mjini, geita vijijini,nyang'wale na busanda..soon pia kutakuwa halmashauri ya katoro ....Geita Gani mzee ya kulinganisha na eneo Hilo ambalo tayali wamegawa halmashauri nne na zipo fire hatari
Njaa hata wewe unalia ,,,....Kwa sababu hata kilo za ubwabwa ulizokuwa ukipikia familia yako ,umepunguza ,,,,,Mtakula Madini? Huoni wabunge wenu wanavyolia njaa huko?
GDP ipi ya kumi na mbili Kanda ya ziwa ina GDP ya trillion 40 sawa na theluthi Moja ya uchumi wa nchiNi lini utakuwa na akili Mzee? Yaani GDP ya 12 ndio inajenga Nchi?
Saizi tuu mnaolalamika Njaa si mtakuwa kama Wa Ethiopia kukimbia kwenu? Mtakula dhahabu?
Napunguzaje wakati mm ni mkulima? Kwanza kwetu bei ni 2700.nyie 3800 Sasa kuleni madiniNjaa hata wewe unalia ,,,....Kwa sababu hata kilo za ubwabwa ulizokuwa ukipikia familia yako ,umepunguza ,,,,,