Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha wehu wewe,onyesha hiyo 40 iliko,weka hapa Namba
Jumlisha hapa ...
20230104_210423.jpg
 
Geita wilaya imezaa halmashauri 4 ..geita mjini, geita vijijini,nyang'wale na busanda..soon pia kutakuwa halmashauri ya katoro ....
Bariadi wilaya imezaa 4 .itilima , bariadi mjini,bariadi vijijini na imechangia kuzaa wilaya ya busega ....
Kuzaa sio shida jiografia na ukuaji wake ndo tunalo liangalia na mwingiliano mkubwa wa watu
 
Kuzaa sio shida jiografia na ukuaji wake ndo tunalo liangalia na mwingiliano mkubwa wa watu
Rafik hata hueleweki ..Ukuaji Gani unaouzungumzia.,sijui geografia imefanya nini .kiufupi tu hoja yako ishapanguliwa tafuta nyingine.
 
Ni lini utakuwa na akili Mzee? Yaani GDP ya 12 ndio inajenga Nchi?

Saizi tuu mnaolalamika Njaa si mtakuwa kama Wa Ethiopia kukimbia kwenu? Mtakula dhahabu?
Kanda ya ziwa ina gdp ya ngapi? Na hizo dhahabu na resources nyingine zinaochangia sana ata uchumi wa dar, kwa mfano kampuni kubwa za dhahabu zinafungua ofisi zao Dar, mapato na yote yanahesabika huko dar.......
 
Malizeni kwanza njaa ndio mje kutusumbua,njaa ni fedheha.
 
Rafik hata hueleweki ..Ukuaji Gani unaouzungumzia.,sijui geografia imefanya nini .kiufupi tu hoja yako ishapanguliwa tafuta nyingine.
emoji16.png
emoji16.png
Hebu angalia hapo utajua naongea Nini HiYo tunavo sema organised halmashauri haziachani umbali mkubwa mfano mkoa wa mwanza au dsm sio halmashauri moja unaenda zaidi ya km 80
Districts-of-Region.jpg
A-map-showing-the-study-districts-and-their-respective-wards-in-Njombe-region-Tanzania~3.jpg
3-0.jpg

Rafik hata hueleweki ..Ukuaji Gani unaouzungumzia.,sijui geografia imefanya nini .kiufupi tu hoja yako ishapanguliwa tafuta nyingine.
 
Mfano mwingine angalia Hilo jiji la dodoma lilivyo gawanywa hapo badae hizo zone zinakuwa manispaa afu mtu unakuja na point nyepesi et geita na bariadi
A-map-showing-the-study-districts-and-their-respective-wards-in-Njombe-region-Tanzania~3.jpg

Map-showing-administrative-boundaries-of-Dodoma-municipal-urban-district.jpg
 
Hebu angalia hapo utajua naongea Nini HiYo tunavo sema organised halmashauri haziachani umbali mkubwa mfano mkoa wa mwanza au dsm sio halmashauri moja unaenda zaidi ya km 80 View attachment 2509596View attachment 2509598View attachment 2509599
Unapotoa maelezo data unazoattach lazima ziwe fair na facts based ...map ya geita umetumia yenye scale tofauti na map yako ya njombe.....nikuambie Kwa taarifa yako halmashauri zote za mkoa wa geita ukiacha chato ziko within 60 km .......Tena ukitaka kujua ni maeneo gani yenye mwingiliano wa watu katizame population
Density
 
Back
Top Bottom