Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika?

Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
Wew unayejua maana ya VIP ...hiyo achimwene yako inaizidi nini kisesa .... underrate yako Kwa mwanza ndio imekuponza watu wa mwanza hawapendi sifa ndio maana huwezi ona vitu vyao .ila mambo Yao sio haba . .
Kisesa express [emoji116]
20230205_111643.jpg
20230205_111557.jpg
 
Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika? VIP ni Ally's tuu hizo zingine ni Luxury standards.

Unajua bei ya VIP wewe?

Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
VVIP mbeya ipo wapi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]
[emoji116][emoji116][emoji28][emoji28]
20230205_111456.jpg
 
Wew unayejua maana ya VIP ...hiyo achimwene yako inaizidi nini kisesa .... underrate yako Kwa mwanza ndio imekuponza watu wa mwanza hawapendi sifa ndio maana huwezi ona vitu vyao .ila mambo Yao sio haba . .
Kisesa express [emoji116]View attachment 2506999View attachment 2507000
Unaweza angalia Nje ukajua ndio VIP si ndio? 😁😁.VIP ni ndani na Huduma zao na ndio maana wanasajili hivyo bei zao ni kubwa.

Mfano bei ya Semi na Luxury ya Dar to Mbeya ni maximum ya 40,000 ila hizo VIP zinaanzia 46,000 Hadi 50,000.

Na ndio maana hao Ally's Wana bei kubwa,Sasa wewe unaleta porojo zingine hizo unajua ndio VIP?
 
Unaweza angalia Nje ukajua ndio VIP si ndio? [emoji16][emoji16].VIP ni ndani na Huduma zao na ndio maana wanasajili hivyo bei zao ni kubwa.

Mfano bei ya Semi na Luxury ya Dar to Mbeya ni maximum ya 40,000 ila hizo VIP zinaanzia 46,000 Hadi 50,000.

Na ndio maana hao Ally's Wana bei kubwa,Sasa wewe unaleta porojo zingine hizo unajua ndio VIP?
Mbona ulikwepa swali langu VVIP ya mbeya Iko wapi .
By the way ordinary dar mwanza ni 50000 ,semi luxury ni 60000 ,VIP ni 85000 ,VVIP ni 1200000 ...
Alys ni VVIP . mbeya VVIP ipo wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haipo,kwanza ni utaahira kupanda VVIP Bus wakati ndege zipo na treni za Kitalii kwetu zinakuja kamaile Levolos ya South Africa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa nani Bora ,,kama hata VVIP hamna ...we si ulisema alys hatoboi mwezi Kwa VVIP ,Leo mwezi wa tatu bado yupo sokoni ...na anatesa [emoji28][emoji28][emoji28]...
Alisema nani? Subiria Sgr ije tuone kama atatoboa
 
Njombe gorofa zipo za kutosha ila mafinga bado labda vituo vya mafuta ndo vina vigorofa kama vitano ila uwingi wa visima makambako ndo inavyo vingi zaidi
Hakuna mji hapo msiforce bhana
 
Mngekuwa mnapanda ndege mngekuwa na figure nzuri ya usafiri wa anga ..badala yake hata Airbus imesitisha safari zake mbeya[emoji28]
Wamegeuza mashamba viwanja vyao, huo mpunga wanao sasa au kelele tu.
 
Sas mbona huko kwenu viwanja vinageuzwa shamba. VVIP hamna ndege minyato Kwan nyie ni ng'ombe [emoji3]
Hawana hoja, ukiwabana eneo fulani wanakimbilia eneo jingine ambalo nalo hawafanyi vizuri. Ukiwabana wanakimbilia kutafuta picha za sumbawanga😀😀😀😀. Kifupi hawaeleweki kama maumbile ya wanawake , wakisimama yanakuwa mbele, wakiinama yanarudi nyuma, na wakichuchumaa yanakuwa kati kati.
 
Hawana hoja, ukiwabana eneo fulani wanakimbilia eneo jingine ambalo nalo hawafanyi vizuri. Ukiwabana wanakimbilia kutafuta picha za sumbawanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kifupi hawaeleweki kama maumbile ya wanawake , wakisimama yanakuwa mbele, wakiinama yanarudi nyuma, na wakichuchumaa yanakuwa kati kati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The Sunk Cost Fallacy 2 tunaomba picha za mabus.
 
Back
Top Bottom