Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

View attachment 2506354View attachment 2506355
Shule hii ya msingi kwa njombe no chuo Cha veta
Kwenye mambo ya shule huko tulishavuka kitambo Sasa hivi tuko huku 👇
njombe_at_home_1675523453515871.jpg
njombe_at_home_1675523495174377.jpg
njombe_at_home_1675523482247667.jpg
njombe_at_home_1675523322100852.jpg
njombe_at_home_1675523278437276.jpg
njombe_at_home_1675523278437671.jpg
 
Kampuni la max coal ludewa kupitia makaa ya mawe litazalisha mafuta na gas maana dissel na petrol na kazi inaendelea pia yanatumika kuutengeneza na mbolea
WhatsApp Image 2022-08-25 at 9.34.38 AM (1).jpeg
FDGWihCXoAIjyK1.jpg
 
Kwa Sasa nimeona Kampuni zimeongezeka Kipande hiyo ila ulikuwa una tu fix kumbe Happy Nation haikuwepo huko

Ila Bado sana kufikia kuwa na Luxury za kuzidi kama za Mbeya View attachment 2506745View attachment 2506746View attachment 2506747View attachment 2506748View attachment 2506749View attachment 2506750View attachment 2506751View attachment 2506752
We kweli hujielewi. ...VIP ya happy national ndo haikuwepo ...ila semi luxury zilikuwepo

Naona mwanza imewapiga 5:0 kwenye mabus
 
We kweli hujielewi. ...VIP ya happy national ndo haikuwepo ...ila semi luxury zilikuwepo

Naona mwanza imewapiga 5:0 kwenye mabus

Nyie ndio kwanza mnaanza kupata VIP tena mpaka Sasa kampuni ni hizo 2 tuu ya Ally's na Hawa Happy Nation kama watakuja..

Mbeya tuna VIP kibao za Dar siku nyingi zaidi ya kampuni 10..

Sasa hivi nimekuta Kuna VIP ya Mwanza Ile Isamilo VIP ya Tanga inaitwa Mbeya City express,Mabasi mazuri kama Dreamliners.
 
Hizo kumi ziko wapi .. tofauti na NBS ,pamoja SAULI ....by the way mwanza Ina kampuni 17 za usafiri wa kwenda dar ...na zote ni semi luxury..na VIP ,...
 
Sas isamilo VIP inahesabiwa mwanza au mbeya .
 
Hizo kumi ziko wapi .. tofauti na NBS ,pamoja SAULI ....by the way mwanza Ina kampuni 17 za usafiri wa kwenda dar ...na zote ni semi luxury..na VIP ,...
🤣🤣🤣🤣🤣 NBS?
VIP Class hizi hapa

Achimwene,
Sauli,
ABC Upper Class,
Master Lux,
New Force/Golden Deer
Imani Plus,
Al Saedy.
 
NBS?
VIP Class hizi hapa

Achimwene,
Sauli,
ABC Upper Class,
Master Lux,
New Force/Golden Deer
Imani Plus,
Al Saedy.
Ko zimeisha au
Libanika
Allys
New best line
travel partner
Happy national (soon)
isamilo Express
Kisesa express
Hizi zote ni VIP NA VVIP
hivi mbeya Kuna VVIP hata Moja kweli kama hili dubwana
20230204_213414.jpg
20230131_201359.jpg
 
Ko zimeisha au
Libanika
Allys
New best line
travel partner
Happy national (soon)
isamilo Express
Kisesa express
Hizi zote ni VIP NA VVIP
hivi mbeya Kuna VVIP hata Moja kweli kama hili dubwanaView attachment 2506977View attachment 2506978
Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika? VIP ni Ally's tuu hizo zingine ni Luxury standards.

Unajua bei ya VIP wewe?

Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
 
Back
Top Bottom