Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

The Sunk Cost Fallacy 2 tunaomba picha za mabus.
Huko Kwenye Mabasi tulishavuka kitambo sana ,naona saizi ndio mnapata VIP mnapiga kelele sana 😁😁.

Acheni ushamba
mbeya_city_luxury_bus_1675594833015427.jpg
mbeya_city_luxury_bus_1675594816840382.jpg
 
Mbeya baada ya dual carriage kujengwa itakuwa hvi View attachment 2507287View attachment 2507288
Acha ujinga wako wewe..

Siku Jiji wakichukua eneo lile la mashamba ya Kilimo ya uyole na JKT pale na kupima Viwanja, Mbeya yote itakuwa Kali kama ulaya..

Maana uzuri ni kwamba uswazi utakuwa katika ya Mji yaani Kuanzia Nanenane Hadi Mafiat,hii ni sehemu ya biashara so hutoona labda upae na ndege..
 
Itakuwa west Africa hii...hasa Nigeria au Ghana...ndo Wana miji ya namna hii...

Mbeya ishushwe hadhi...iwe mamlaka ya mji tu...haifai kuwa jiji
Ningekuwa rais ,,ningeshusha miji mingi hadhi ..
Majiji yangebaki matatu Mwanza ,Arusha na Dar es salaam.
Manispaa zingebaki Tano tu , Morogoro, dodoma,Moshi, iringa,mbeya na Tanga ..
miji mingine ingebaki kwenye hadhi ya miji na vijiji....
 
Acha ujinga wako wewe..

Siku Jiji wakichukua eneo lile la mashamba ya Kilimo ya uyole na JKT pale na kupima Viwanja, Mbeya yote itakuwa Kali kama ulaya..

Maana uzuri ni kwamba uswazi utakuwa katika ya Mji yaani Kuanzia Nanenane Hadi Mafiat,hii ni sehemu ya biashara so hutoona labda upae na ndege..
Kwani hadhi ya jiji mmepewa juzi ..kama bajeti ya upimaji viwanja hutoka Kila mwaka ,,,mmefanya nini ,,,,,,mji wote ni slums ,kuanzia nsalaga Hadi uyole......Kwa mama john, majengo,iyunga , nzovwe, airport ya zaman ni uchafu mwanzo mwisho ......unakuja hapa unajilinganisha na mwanza,, mwanza ni mji mkubwa una Kila aina makazi slums na porshy planned neighborhood kama ilivyo dar tu . usifananishe.......
 
Swala sio Bajeti swala ni Ardhi,Mji umejaa eneo lililopo Kwa hapo Mjini ni Hilo na kule Mbalizi Hadi Songwe
 
Swala sio Bajeti swala ni Ardhi,Mji umejaa eneo lililopo Kwa hapo Mjini ni Hilo na kule Mbalizi Hadi Songwe
Upo Sahihi ishu kubwa kwa mbeya ni ardhi kwa Sasa eneo kubwa limesha kuwa coverd kulingana na position ya mji ulipo na maeneo yenye uangalau ni mbalizi hadi songwe ko ndo maana hata project kubwa zinazo hitaji ardhi kubwa wameanza kupeleka mkoa jirani na hii ni advantage kwa mkoa wa njombe maana una ardhi ya kutosha na wamejipanga kwelikweli kuanzia miundombinu na ishu kubwa iliyokuwa inawasumbua njombe ni maji saizi wamesha pata mradi mkubwa ambao utahudumia miji mitatu njombe tc ,makambako tc na wangingombe maji wametoa mto ngiwi tayar Kasi ya wawekezaji inaenda kuongezeka tena ujenz unaendelea
 
Back
Top Bottom