Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya mbona mnaumia sana
Screenshot_20230123-220316.jpg
 
Leta kiwanda cha huko matakoni mwa Tanzania kikubwa zaidi ya hiki
We unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
 
Leta figure ili tuamini huu umbeya wako
 
Leta mpya
Picha ya zamani

We unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na

Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
 
We unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
Chukua hizi data acha kuropoka kama kubwa jinga
IMG-20230123-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom