Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kiwanda kikubwa cha chuma kutoka wilaya ya magu lakini hatulingi kama sunk na mbeya yake
Hicho ndio kiwanda kikubwa? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Afu
IMG_20230121_120054_753.jpg
Jifunze kuweka picha
 
Una maneno ya kukera na kuudhi sana bwege sana wewe mmmk๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani Mwanza hii izidiwe na miji yakipagazi inayoishi zama za ujima.
Kwa Arusha mtaongea nini? Per Capita income imewazidi,pesa za TRA imewazidi,magorofa imewazidi, majengo marefu, Mahoteli nk imewawapiga chini Sasa nyie mnaizidi nini Arusha?
 
Surplus eti?

Surplus au siyo? [emoji38][emoji38][emoji38]

Msaada wa chakula shida njaa Kali [emoji116]

Wee bata unajua tofauti ya msaada na bei nafuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiv southern highlands ndo akili zenu ziko hiv au mwehu ni wew mwenyew.
 
Wee bata unajua tofauti ya msaada na bei nafuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiv southern highlands ndo akili zenu ziko hiv au mwehu ni wew mwenyew.
Excuses as usual,hiyo bei nafuu Kwa nini ipelekwe huko kwenu tuu kama sio njaa? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Excuses as usual,hiyo bei nafuu Kwa nini ipelekwe huko kwenu tuu kama sio njaa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kukalili mla maparachich wew [emoji23][emoji23][emoji23] shida ya kula mapalachichi yasiokomaa ndo hii.

Juzi bashe kasema serikali itatoa chakula ili kupunguza bei ya chakula sokon ,kwa akili zako zilizopo karibu na mkundustan unajua chakula hutolewa kama msaada pekee.
 
Unadhani wanatoa wapi Sasa? Kinaletwa huko kwenu kwenye njaa Kali sio kwetu sie ndio wazalishaji..

Yule bwege mwenzio si alikuwa anakuja na takwimu mwambie vipi tena mnapokea Msaada wa njaa? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Mbunge wenu anashukuru kweli kweli ๐Ÿ‘‡
Screenshot_20230123-201746.jpg
 
Unadhani wanatoa wapi Sasa? Kinaletwa huko kwenu kwenye njaa Kali sio kwetu sie ndio wazalishaji..

Yule bwege mwenzio si alikuwa anakuja na takwimu mwambie vipi tena mnapokea Msaada wa njaa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mbunge wenu anashukuru kweli kweli [emoji116]View attachment 2493246
Kajifunze tofauti ya msaada na bei nafuu ndo uje tujadili bata wew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom