Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mfano hichi ni Cha gloves tu vipo vingine vitano Tena hadi saiz wamekamilisha viwanda sita na kazi inaendelea wanaeneo lenye ukubwa wa Zaid ya ekari 30
15.jpg
 
Naona makete nao wameamua kunufaika na TAZAM road ambayo ipo busy na usafirishaji wameamua kujenga stendi kwenye kata zao zilizopo TAZAM road na ni miongoni mwa watakao nufaika na utanuzi wa bara barara ya Igawa hadi mbeya wao Wana km 16 zipo makete njombe baada ya chimala uelekeo wa makambako na hii na hapa ndo short cut ya kuingia makete mjini ni km 50 tu kuliko kuzungukia njombe
FB_IMG_16745254032669381.jpg

FB_IMG_16745253825151409.jpg

FB_IMG_16745253490067618.jpg

FB_IMG_16745253605110531.jpg
 
Naona makete nao wameamua kunufaika na TAZAM road ambayo ipo busy na usafirishaji wameamua kujenga stendi kwenye kata zao zilizopo TAZAM road na ni miongoni mwa watakao nufaika na utanuzi wa bara barara ya Igawa hadi mbeya wao Wana km 16 zipo makete njombe baada ya chimala uelekeo wa makambako na hii na hapa ndo short cut ya kuingia makete mjini ni km 50 tu kuliko kuzungukia njombe
View attachment 2493522
View attachment 2493523
View attachment 2493524
View attachment 2493525
Fursa za kuongeza mapato ya Halmashauri
 
Kahama tunayopogiwa makelele ndio hii hapa sasaView attachment 2493679
Imejaa mavumbi na uswazi Kila Kona 😁😁😁😁
Hivi hawa Tarura wamewaonaje watu wa kahama, mbona Tarura hawana nidhamu wa adabu kwa kahama, ni lini kahama itaheshiwa kwa hadhi yake? Hao TARURA walishindwa nini kujenga hiyo 1 km ya barabara kwa kiwango cha lami ngumu na badala yake wameamua kujenga kwa kiwango cha changarawe? Mapato ya kahama yanachukuliwa kwenda kujenga 54km dual carriage huko kusini, jama jama hii sio fair ata kidogo.
 
Yan nyie inatakiwa mje mpate SoMo mkoa wa njombe muangalie jinsi lami zilivopigwa mitaani miji ya makambako na njombe ndo mtaelewa maana kujali miundombinu
FB_IMG_16745437277769613.jpg
 
Ukiwaambia walete Barabara za mitaa Ya Miji Yao ni sawa na kuwafukuza jukwaani

Sumbawanga street roads View attachment 2493635View attachment 2493636View attachment 2493637View attachment 2493638View attachment 2493639
Uchafu kama huu upo mwing sana lake zone upo toka mbeya inaitwa southern highlands haina ata 100miters za lami.

Kitu unapaswa kufaham ni uhitaji wa barabara mwanza ni mkubwa kuliko huko mapolin kwenu ni vile serikali inabusara inajitahid kubalance,ingekuwa si sawa kujenga mabarabara ya njia nne mpka sita at the same time mnajenga JP bridge, SGR,Meli,Airport and mengine mengi alaf huko polin wakawasubirisha.

Ni furaha yetu wanalake zone kuona baadhi ya vitu tuviache ili nanyie mpate.

TAARIFA: Garama za JP bridge zinatosha kuifanya southern highlands kusiwepo na barabara ya vumbi yeyote ile, inatosha kuifanya mbeya kama jiji la mchongo kuwa la kisasa, inatosha kuwajengea hospital za kisasa kila kata zenye uwezo wa kufanya uchunguz wa matatzo ya akili na chenji ikabaki.

Siku uko polini mkianza projects za mahela mengi kama hizi ndo mje kubwabwaja.

Saiv tupo busy na
20230124_110510.jpg
20230124_111154.jpg
20230124_111222.jpg
 
Back
Top Bottom